KamaKQ haikunufaika na soko la Tanzn kipindi cha nyuma basi tena, maana mliingia na kutoka Kama kwenu na mlishika soko kwa 80% sasa tumewabana kwa kiasi lazima mshuke na bado Rwanda, Uganda nao wanavuta, wenye hisa nao wanataka mgao,ndege nyingi zinahitaji matengenezo hii ni alama nyekundu kwa KQ