Kenya Airways Faces “Imminent Collapse”

Kenya Airways Faces “Imminent Collapse”

Ninyi wangapi mliowauwa, heri lisu bado mzima, anza kuhesabu kuanzia Tom Mboya, Pio Gama Pinto, Robert Aoko, na umalizie kwa Msando na jana mwanafunzi wa University of Nairobi, achilia mbali Makaburi kule Mombasa na Juma Rogo, sio chini ya watu elfu 30, wewe nitajie watu wawili tu walioliwa kwa risasi Tanzania
sisi hatujiiti wastaarabu na wenye amani...😀😀😀watz wanasema eti wao ni wastaarabu...lol!! ilhali jamaa wao ako hali maututi Nairobi akitibiwa...🙁🙁so sad
 
Ndio maana nikasema majirani join the club. (Ukisoma mwanzo wa thread utaona). Imagine the whole KQ going up in the smoke eishhh..
imagine mitungi ya chang'aa mmeshindwa kulipia deni...duh! maajabu haya...Kenya airways wangekuwa na hayo mitungi hata wanaweza waka donate free of charge to Somalia yaende yaka pambane na magaidi...😀😀😀KQ have class
 
In my view, Kenya has this old tendency of going in first or being the first to do things. Hiyo kitu wamekuwa wanaifanya siku nyingi kila mara inawaagusha kwenye pua maana unakuta wale watu uliotakiwa kufanya nao biashara bado wako nyuma na hawawezi kufanya biashara na wewe. The same problem white South African created for now black regime in power. The white decided earlier on that they will never do business with the rest of Africa, so they create their economy to direct integrated with European, American and Australians. Leo hii kibao kimegeuka Africa wanaonekana wanajipanga, even is looking on Africa for there future growth, South Africa's wanashidwa kupata mindful partners to do business with maana uchumi wao haukutengenezwa kufanya biashara na uchumi ndogo mdogo za Africa.

Sasa na Kenya wao wanajiumiza the same way kama South Africa. Instead of going with your partners wao wanakimbilia kuwa the first in the region. Export ya mafuta wao wao first, banking wao first, transportation first, insurance, money exchange etc. Look what is going on in north, there building infrastructure in the hope that Ethiopia and South Sudan will came to the rescue. But without guarantees and incentives who will come. Tanzania walivyo tafuta bomba la mafuta kutoka Uganda, they didn't started with Uganda, they building alliance's first with DRC, Zambia, South Sudan, Burundi and Rwanda. Remember marais hao wote wamekuja Tanzania in the past 18mth na part of agenda is joinging bomba la mafuta [to and from] Tanzania maana na wao wanatala gesi kutoka kwetu.
If you're gonna lecture others blah blah blah on this and that make sure you're in far better shape ,you're wiser and you are doing better.Your imagined formular for success should have produced a bigger economy,stellar companies with regional outlook,better integration into world economy,better per capita incomes etc.Lakini ona sasa Kenya is doing better on many fronts than you so your rant is just hypocrisy.
 
mwingilie nchi yetu nasi tunyamaze sio??? ngoja tu...nimeweka gloves kando...tucheze mchezo mchafu sasa...leta ya Kenya nami nitakuwa wa kwanza kuleta ya Tanzania..mtindo utakua huo huo kwanzia sasa....ubaya wenu mnaona wakenya wamenyamaza mnafikiri ni wajinga hawajui mashida zilizojaa Tanzania...😀😀😀
So long as mnampa kura Uhuru mko na Support yangu.

Raila yuko na mentality ya ******** ambayo wameambukizwa na kagamwe!
 
sisi hatujiiti wastaarabu na wenye amani...😀😀😀watz wanasema eti wao ni wastaarabu...lol!! ilhali jamaa wao ako hali maututi Nairobi akitibiwa...🙁🙁so sad
Kuwa mstaarabu haina maana you are perfect, lakini ukitaja nchi tano bora katika amani na utulivu Africa, huwezi kukosa Tanzania, ndiyo sababu tukio la Lisu limewastua watu wengi hapa Tanzania, huko Kenya watu wanauliwa kama kuku na watu wanaona ni kawaida kabisa, uchaguzi huu uliopita watu 24 wamekufa na bado mnasema uchaguzi umefanyika kwa amani.
 
Biashara ya airline ni miongoni mwa biashara tight sana inahitaji usimamizi wa maana na hasara ipo nje nje. But faida zake pia ni kubwa, hasa katika utalii na kutambulisha nchi Wa Kenya njooni na hoja hapa sio middle economy. Hilo twalifahamu
 
If you're gonna lecture others blah blah blah on this and that make sure you're in far better shape ,you're wiser and you are doing better.Your imagined formular for success should have produced a bigger economy,stellar companies with regional outlook,better integration into world economy,better per capita incomes etc.Lakini ona sasa Kenya is doing better on many fronts than you so your rant is just hypocrisy.
But more neighboring trading partners are losing hope with Kenya, in the past 18mth NO major trade deals been sign or commissioned withing the region. If you think this isn't a problem, then your not doing your homework very well.
 
imagine mitungi ya chang'aa mmeshindwa kulipia deni...duh! maajabu haya...Kenya airways wangekuwa na hayo mitungi hata wanaweza waka donate free of charge to Somalia yaende yaka pambane na magaidi...😀😀😀KQ have class
Uko busy ku-derail the thread, bado haujakubali au kukataa kama KQ iko ICU.
 
If you're gonna lecture others blah blah blah on this and that make sure you're in far better shape ,you're wiser and you are doing better.Your imagined formular for success should have produced a bigger economy,stellar companies with regional outlook,better integration into world economy,better per capita incomes etc.Lakini ona sasa Kenya is doing better on many fronts than you so your rant is just hypocrisy.
For your information Kenya economy is about to collapse, read your own today newspaper you will realise the truth, all sectors of production and economy are going down, tell me which sector Kenya is doing well?, with debts at 56.4%, With economy growth of 4.8%, with exportation value of $5B and imports value of $12B, with unemployment of 48%, with gini coficient of 4.2, With 4million people starving, with inflation above 8%... the list goes on.. apart from GDP which the gap is closing very fast,what else Kenya is above Tanzania?
 
i agree with you mambo mengi sio shwari lakini wacha kuweka chumvi zaidi with invented figures ili your narrative of all doom and gloom ipate ladha unayopenda.Most of you folks would love to see Kenya collapsing ndio mpate satisfaction.
 
Meanwhile in Tanzania..mitungi ya chang'aa yanagawanywa kama njugu na wazungu kule Canada...😀😀😀😀
3953347.jpg

Tanzanian aircraft seized in Canada over $38m debt -Lissu
Tanzanian aircraft seized in Canada over $38m debt, claims Lissu
A commercial aircraft that was expected to be delivered to the national carrier Air Tanzania in July this year has been detained in Canada after the government failed to pay $38 million (Tsh83 billion) owed to a contractor, an opposition member of parliament said on Friday.

Tundu Lissu, the Chadema MP for Singida East, told reporters that the Bombardier Q400 was seized after failure by government to pay the money it owed Canadian Stirling Civil Engineering Limited over a cancelled contract.

The firm had been contracted to construct the Wazo Hill-Bagamoyo road in Dar es Salaam but the government terminated the contract.

The contractor then went to the International Court of Arbitration and won the case.

“The government lost the case in 2010 and was ordered to pay the compensation amounting to $25 million with an interest of eight per cent,” said Mr Lissu.
Si ni hawa Kenya Airways walipanga njama kuiua PrecisionAir? Kweli hujafa hujaumbika
 
i agree with you mambo mengi sio shwari lakini wacha kuweka chumvi zaidi with invented figures ili your narrative of all doom and gloom ipate ladha unayopenda.Most of you folks would love to see Kenya collapsing ndio mpate satisfaction.
Niambie kipi kati ya hayo niliyosema nimeweka chumvi au nimedanganya?, lengo ni kuelimishana, tafadhali kama unataarifa tofauti na hizo nijulishe, nipo tayari na ningependa kujifunza mambo mapya, elimu haina mwisho.
 
If you're gonna lecture others blah blah blah on this and that make sure you're in far better shape ,you're wiser and you are doing better.Your imagined formular for success should have produced a bigger economy,stellar companies with regional outlook,better integration into world economy,better per capita incomes etc.Lakini ona sasa Kenya is doing better on many fronts than you so your rant is just hypocrisy.

Well Kenya is NOT doing good.. you make it look that it is doing good.

You are very good in camouflaging your roten eggs and when they are too smelly you always find a reason..

Uchumi... Nakumatt.. and now KQ

Ethiopia is coming up.. Rwanda is coming up.. Tanzania is...

Re evaluate your mistakes otherwise...
 
Mi nina wasiwasi na mtoto inayozuka ghafla viwandani Tanzania. Naomba serikali ichunguze inaweza ikiwa sabotage toka kwa jirani...
Maana huko kwao hali ni mbaya!
 
😀😀😀😀 nimekunywa chang'aa kwa mitungi ya bombadier...
Dont wrestle pigs here bro, that debt i assure you will be restructured , there is a meeting between kq, the banks and treasury next week on the issue, word is the cs will be very hard on the ' banks' . It is either they tow the line ama mambo will be slippery for them.
 
[emoji23]system ni ya majambazi [emoji28]
 
Back
Top Bottom