Kenya Airways flight lands safely in New York, receives a water salute at JFK Airport

Mkuu pole pole basii! πŸ˜‚
Si unajua hapa ni ugenini.
Vitu vingine sio vya kusema mbele ya Jirani! 😁

Ukiwa na busara na hekima hiyo, utadumu sana kwenye ndoa yako na kuishi vizuri na wengine.
Wahenga walisema ficha aibu yako. ndiyo maana hata kwenye ndoa mkinuniana mgeni akija mnapotezea bifu lenu kwa muda kipindi mgeni akiwepo, akiondoka wengine wanaliendeleza, lkn mimi binafsi huwa linaishaga, teh teh teh tihiii.
 
Shukran kwa hizi sifa ulizozimimina bila kupima. Tumezipokea, ubarikiwe sana..... na hizo baraka zita'expire' leo midnight. 😎
 
Shukran kwa hizi sifa ulizozimimina bila kupima. Tumezipokea, ubarikiwe sana..... na hizo baraka zita'expire' leo midnight. 😎

Teh teh teh tihiii

aksante kwa kunipendelea,
I was thinking may be baraka zitaisha a moment I read to a full stop of final sentence of your paragraph.

yaani kumsifu kidogo tu nalendwa umenuna.

Teh teh teh tihiii hapo bado sijamwagia mashairi yenye mizani 16, vituo na vina.
 
Hahaha! [emoji1] Sijaribiwi mimi, ukijaribu kunipangia ndio sasa utakuwa umeharibu kabisa! 😑 Ngoja nikamuite tu'suspend' hizo baraka. [emoji125]
 


πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…