Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole pole basii! 😂
Si unajua hapa ni ugenini.
Vitu vingine sio vya kusema mbele ya Jirani! 😁
hasira hasara mzeeKwani magari ya firefighters huko Kenya Air ports huwa hayana ving'ora? Au king'ora cha mzungu kina mlio tofauti labda blues au reggae?
Shukran kwa hizi sifa ulizozimimina bila kupima. Tumezipokea, ubarikiwe sana..... na hizo baraka zita'expire' leo midnight. 😎Ukiwa na busara na hekima hiyo, utadumu sana kwenye ndoa yako na kuishi vizuri na wengine.
Wahenga walisema ficha aibu yako. ndiyo maana hata kwenye ndoa mkinuniana mgeni akija mnapotezea bifu lenu kwa muda kipindi mgeni akiwepo, akiondoka wengine wanaliendeleza, lkn mimi binafsi huwa linaishaga, teh teh teh tihiii.
Shukran kwa hizi sifa ulizozimimina bila kupima. Tumezipokea, ubarikiwe sana..... na hizo baraka zita'expire' leo midnight. 😎
Hahaha! [emoji1] Sijaribiwi mimi, ukijaribu kunipangia ndio sasa utakuwa umeharibu kabisa! 😡 Ngoja nikamuite tu'suspend' hizo baraka. [emoji125]Teh teh teh tihiii
aksante kwa kunipendelea,
I was thinking may be baraka zitaisha a moment I read to a full stop of final sentence of your paragraph.
yaani kumsifu kidogo tu nalendwa umenuna.
Teh teh teh tihiii hapo bado sijamwagia mashairi yenye mizani 16, vituo na vina.
Ukiwa na busara na hekima hiyo, utadumu sana kwenye ndoa yako na kuishi vizuri na wengine.
Wahenga walisema ficha aibu yako. ndiyo maana hata kwenye ndoa mkinuniana mgeni akija mnapotezea bifu lenu kwa muda kipindi mgeni akiwepo, akiondoka wengine wanaliendeleza, lkn mimi binafsi huwa linaishaga, teh teh teh tihiii.
Hahaha! [emoji1] Sijaribiwi mimi, ukijaribu kunipangia ndio sasa utakuwa umeharibu kabisa! 😡 Ngoja nikamuite tu'suspend' hizo baraka. [emoji125]
I can't with you! 😀
pingli-nywee kanishinda tabia...lol!
Hahaa! [emoji1] I think we are all in agreement. I expect some swift action against the opposition my dear, this is no democracy! Sema amen! [emoji23]I can't with you! 😀
Hahaa! [emoji1] I think we are all in agreement. I expect some swift action against the opposition my dear, this is no democracy! Sema amen! [emoji23]
Mueleze kwamba rangi zangu zitabadilika sasa hivi. 😡pingli-nywee kanishinda tabia...lol!
Hallelujah! May the dark spirit of destruction leave this place! I pronounce swift 4G deliverance right this minute. Fire! Extra fire! [emoji1]Hallelujah to the Ameeeen! 😀😀
Nendeni hata PlutoHehehe hadi raha......tena ndege zitakua za kila siku zinapishana, inakuja USA-Kenya na Kenya-USA
Nyoko,Naona dege la kenya liko marekani lamwagiwa maji, sisi kazi kubeba ndoo za samaki toka mwanza. Hahahaha
Mueleze kwamba rangi zangu zitabadilika sasa hivi. 😡
Hallelujah! May the dark spirit of destruction leave this place! I pronounce swift 4G deliverance right this minute. Fire! Extra fire! [emoji1]
Have a nice day Nalendwa.This Forum Mweh! 😀😀😀