mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
65 billion shillings in 3 days zinaweza komboa bombardier mbili...tafakari hayo.Unaanza kuhamisha magoli, ngoja na mimi nihamishe langu. Uhuru Kenyatta alikuwa waziri wa fedha wakati KQ inakopa kuliko uwezo wake. Leo Uhuru huyo huyo amepandishwa cheo na kuwa Rais, sasa hivi amewaingiza wakenya wote kwenye madeni yasiyo lipika. Huku anakuja kusema EAC wote njooni bila visa mfanye kazi mtusaidie kulipa madeni. SMH