Kenya Airways gains Sh65 billion in three trading days

65 billion shillings in 3 days zinaweza komboa bombardier mbili...tafakari hayo.
 
Hiyo sio hela ya mkopo to brag about, one little hicup hela yote inarudi kwa investors. Stoke and shares ni nzuri pale tu biashara inapofanya vizuri, lakini KQ haijafanya vizuri since 2012.
 
Mkutano wa mnanda unawahusu wenye Ng'ombe. Je wapi ndege zenu?
 
Homework homework homework, ndege zetu zinamalizika kujengwa kabla ya kuanza flight test. June sio mbali
 
Hata Bagamoyo haikuwa mbali.
Hatukurupuki, kwanini tujibebeshe mzigo wa deni $10B ya bagamoyo wakati kuna plan B ya kualika investors wakagharimia wenyewe. Hatubebi tembo mweupe huku.
 
Sa Bombardier mtaikomboa June ama July?
 
Natumai you've learnt that Kenya leads EA economically. Sasa kunywa kopo la maji ulale.
Kenya ina lead kwa kipi, au ina lead nani? Leo hii Kenya ikopotea from the face of the earth, Tanzania itaendelea kuwepo. Tutaendelea kula, kunywa na kuishi like nothing had happened zaidi ya kupoteza section ya Kenya hapa JF.
 
What are you saying brother frothing at the mouth? Inaonekana usingizi unakusumbua na akili yako imechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…