Kenya Airways ikifanyia Testing Airbus ya ATCL ndio wainunue Rasmi.

Kenya Airways ikifanyia Testing Airbus ya ATCL ndio wainunue Rasmi.

Status
Not open for further replies.
Daa we jamaa mbona umeongea maneno makali ati uchafu duu.Ubarikiwe aisee
 
Mlifaa mtulie na kuandaa mikakati ya jinsi gani mtaendesha shughuli ya biashara ya ndege, sio kukurupuka bila kuelewa wapi pa kuanzia na wapi pa kutokea.

Hivi unajua hata unaongea nini kweli? I see some neurocognitive disorders here.
 
Asante Tz kwa kutuuzia ndege bei nafuuView attachment 1057941

Sent using Jamii Forums mobile app
Rabbish yako peleka kibera huko,mnakodanganya na kujimilikisha vitu visivyo vya kwenu
IMG_20190331_180844.jpeg
 
Ahaaa haaa haaa
Umenikumbusha kipindi tuko watoto tunawaiana kusema langu magari ya watu yanayopita barabarani.
Eti langu hili hili.
Yaani ndiyo jamaa ZETU walivyo. Walivyoiona tu Airbus yetu wakaanza kusema yangu hii yangu hii.
Ahaaa haaa haaa
Kama hapa walivyomuwahi profesa j
IMG_20190331_180844.jpeg
 
Hizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
Wala hayazwi. Unaita uchaf wakati egypt wame order 14.
Tena hii ndege imekuja wakati sahihi maana ni direct competitor wa 737 max.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona zinatua ndege sana kila siku hazisemwi, na sio mara ya kwanza ndege yenu kutua kwetu, ila hii inayosemwa semwa itakua ina kitu. Mbaki nayo huko hatuitaki, kwetu sio dampo la kutupa kila kinachowashinda kwa mlivyo wavivu wa kutupwa, kila mnachogusa kinaangukia pua.
Hamuna mipango, mnawehuka tu...
Yeah ni mpya. Halaf ni model ambayo ni tanzania ndio nchi ya kwanza kumiliki. Hakuna ncgi nyingine africa ambayo ime receive ndege kama hiyo.

Ni agreement za airbus na KQ.

Mbona france wanafanya hii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom