Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6

Ebu pitia hiyo list uone airline zingine kwanini ziko huko juu na KQ iko kwenye dog how for God knows when. Hapo mlipo ni kama One Foot in the Grave, mkichwza kidogo tuu your our of the list. Same as lower middle income, it doesn't guarantee your position on the list once your economy tumbles.
for your information bruh, KQ is among the top 5 airlines in Africa...In fact, it is number 3 after ET and SAA to be precise...plus everybody knows that african air travel only makes 2 percent of the global air travel...hence it is not fair to compare african airlines to those of developed countries
 
Ebu pitia hiyo list uone airline zingine kwanini ziko huko juu na KQ iko kwenye dog how for God knows when. Hapo mlipo ni kama One Foot in the Grave, mkichwza kidogo tuu your our of the list. Same as lower middle income, it doesn't guarantee your position on the list once your economy tumbles.
unajua EAC built JKIA?
 
But Kenya refused to sit down and discuss disposable of assets. Hii lana ya kutuibia haita waacha salama.

We don't negotiate with terrorists. You wanted to force our pilots to return to Dar, therefore owning 3 airplanes. Yet you knew very clearly that it was Kenya which had been financing the entire EAA for many years.
The sad truth is Kenya got a raw deal considering how much it had invested.

But bottomline ni kwamba, Kenya Airways ya 1977 si Kenya Airways ya leo.
It started with a fleet of 3 small planes and grew to more than 40 at its peak.
What was your excuse for not growing Air Tanzania? Ama mtaishi mkisema Kenya waliwaibia?

Even if you succeeded in snatching the 3 planes from Kenya in 1977, you would still have collapsed it.
 
Mbona husemi haya maneno kwa Warusi, Wachina, Cuba au hata waVietnam. Ni Tanzania tuu ndio wanyonge wako.

Wale walianza mifumo yao zaidi ya miaka 500, changamoto zote walishazifanya kazi, wewe Mswahili umejitutumua na kuiga na kujiingiza kichwa kichwa hujui mfumo unaanzia wapi ukienda wapi...
Leo hii unajifananisha na watu walioanza viwanda miaka 500 iliyopita tena wakitumia lugha zao na asili zao, wewe mpaka leo unaagiza pipi na sindano....
 
for your information bruh, KQ is among the top 5 airlines in Africa...In fact number 3 after ET and SAA...everybody knows that africa air travel only makes 2 percent of the global air travel...hence it is not fair to compare african airlines to those of developed countries
Yani wala usi brag about this, many countries in Africa they haven't got active national airline. Hiyo kitu inaanza kubadikika kila nchi inataka national airline. So that position it might change not long from now.
 
unajua EAC bilt JKIA?

Wewe ni kama huwa unajikuna kichwa unasema the first think that comes to you.

JKIA.JPG
 
We don't negotiate with terrorists. You wanted to force our pilots to return to Dar, therefore owning 3 airplanes. Yet you knew very clearly that it was Kenya which had been financing the entire EAA for many years.
The sad truth is Kenya got a raw deal considering how much it had invested.

But bottomline ni kwamba, Kenya Airways ya 1977 si Kenya Airways ya leo.
It started with a fleet of 3 small planes and grew to more than 40 at its peak.
What was your excuse for not growing Air Tanzania? Ama mtaishi mkisema Kenya waliwaibia?

Even if you succeeded in snatching the 3 planes from Kenya in 1977, you would still have collapsed it.
Kenya frog jump our aircrew on gunpoint to cross Namanga, and your calling us terrorists ???
 
Wale walianza mifumo yao zaidi ya miaka 500, changamoto zote walishazifanya kazi, wewe Mswahili umejitutumua na kuiga na kujiingiza kichwa kichwa hujui mfumo unaanzia wapi ukienda wapi...
Leo hii unajifananisha na watu walioanza viwanda miaka 500 iliyopita tena wakitumia lugha zao na asili zao, wewe mpaka leo unaagiza pipi na sindano....
Kwani Kenya hakujingiza kichwa kichwa mifumo ya kibepari, uwiano wa kipato cha mtu wa juu na mtu wa chini unaonyesha jinsi mlivyo vyamia mifumo kandamizi inaumiza wakenya wengi mpaka wanakosa chakula.
 
Sit let's have decent discussion about EAA access, vinginevyo lana yetu itaendelea kuwatafuna.

This is case closed.
EAA had more liabilities than assets. It was losing tens of millions annually and Kenya was financing virtually all operations for many years.
If for example the amount EAA owed Kenya was converted to equity, Tanzania and Uganda would have ceased being 'shareholders'.
In fact, Tanzania got the better deal when they detained one aircraft. You didn't deserve to retain anything.

So as things stand, Tanzania owes Kenya 1 aircraft.
 
Kwanini mnakimbia when it comes to discussion on deposing EAA assets. Kama kweli ni Kenya ndio ikitakiwa ipate lion share then sit down and discuss and let the world know.
 
ATCL namba moja kutoka nyuma, oops hata haijatajwa, haifamiki, haijuikani, haijawahi kusikika, haina uhai wala pumzi......kwenye nchi inayo ongoza kwa vivutio vya utalii, yaani hamna laana mbaya kama ya uzembe na uvivu... ujamaa uliwalemaza kwa kweli, aliyewapa huo mfumo kawakosea hadi kuzimu.

Myiopism syndrome.
 
Haha, you mean the way your struggling to keep your head above the global waters.
Better one who is struggling to keep their head afloat rather than you who is not even recognized, you are still deep underwater.
 
The number of Tanzanian passengers using air transport is very minimal, in fact Kenyans flying to Tanzania ni wengi hata kushinda your local passengers. Na bado uko hapa kutupigia hadithi za ndege. Precision Air run by KQ is the best thing in 255.
 
One thigh you tried so hard to hide from your comment is that, KQ has dropped 6 places in space of 12 month.

Utasikia sasa wale, forced shareholders, KQ lenders association watakavyopiga kelele. Maana sasa ni mwaka wa pili sasa hawajapata gawio na HAMNA dalili za kuonesha watakuja kupata faida.
 
The number of Tanzanian passengers using air transport is very minimal, in fact Kenyans flying to Tanzania ni wengi hata kushinda your local passengers. Na bado uko hapa kutupigia hadithi za ndege. Precision Air run by KQ is the best thing in 255.

Bring the statistics.
 
Back
Top Bottom