Kali[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Imebaki amenyamaza[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Acha aelezwe kidogo hapa na Khaligraph Jones.Hajui Mat za Ronga ni zii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Waziri Matiang'i na IG Boinett wamepandwa na hasira sio mchezo hadi wameamua kubwaga chini agizo la rais U.K kuhusu sanaa kama hizi kwenye matatu. Natabiri kwamba wamiliki wa matatu lazima watafika mahakamani hivi karibuni.Uuuuuiiii!!! Hii kitu Matiang'i atapiga chini,,,,
Umepiga picha lidege lililokwisha,jifiaKwa muda sasa abiria wamekuwa wakikwama kutokona na itilafu za Kenya Airways. Ndege zao mbovu kama matatu za Rongai.View attachment 928664
Bora wewe umeona hilo.Umepiga picha lidege lililokwisha,jifia
Kwa muda sasa abiria wamekuwa wakikwama kutokona na itilafu za Kenya Airways. Ndege zao mbovu kama matatu za Rongai.View attachment 928664
Takataka Mùngìki Transport system..Wafuate sheria, Double M makes more money than these noisy ugly sad excuses for public transport[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Lipia tangazo kwenye jarida la Daily Nation Jumatatu uwafahamishe. πTakataka MΓΉngΓ¬ki Transport system..Wafuate sheria, Double M makes more money than these noisy ugly sad excuses for public transport
Hii ni mat ya ukweli?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Hahaa! π Mat za Rongaa ni zii.Hii ni mat ya ukweli?
Nadhani, creativity ya Kenya iko level ingine. Trust me, hakuna kitu kama hii anywhere else in the world. We should celebrate our own creativity, sio kuban hii talanta. Hio mat iko on point niaje.Hahaa! π Mat za Rongaa ni zii.
Iko modelled after my favourite movie inaitwa "aliens vs predators". Movie ya 2004. Movie ni hatare, na hio kichwa ya mat ni kama kichwa ya alien kwa hio movie.Hahaa! π Mat za Rongaa ni zii.
Lol! Hiyo ni matatu au geneza?πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Eti trump 124πππππ. Yani nikipanda hii matatu nikajikwaa lazima nikapigwe sindano ya tetenasi. ππππ iko ugly zaidi ya mbwa kokoππ it looks like a ride to hellπ€£π€£π€£π€£π€£[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.