Kenya Airways kama Matatu za Rongai.

Kenya Airways kama Matatu za Rongai.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kwa muda sasa abiria wamekuwa wakikwama kutokona na itilafu za Kenya Airways. Ndege zao mbovu kama matatu za Rongai.
IMG_20181110_132712.jpg
 
Uuuuuiiii!!! Hii kitu Matiang'i atapiga chini,,,,
Waziri Matiang'i na IG Boinett wamepandwa na hasira sio mchezo hadi wameamua kubwaga chini agizo la rais U.K kuhusu sanaa kama hizi kwenye matatu. Natabiri kwamba wamiliki wa matatu lazima watafika mahakamani hivi karibuni.
 
Hahaa! 😀 Mat za Rongaa ni zii.
Iko modelled after my favourite movie inaitwa "aliens vs predators". Movie ya 2004. Movie ni hatare, na hio kichwa ya mat ni kama kichwa ya alien kwa hio movie.

avp__alien_vs__predator__2004__by_prast23-da2ry39.jpeg
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
C4-DCxIUkAEy8pK.jpg
Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Lol! Hiyo ni matatu au geneza?😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
C4-DCxIUkAEy8pK.jpg
Hata matatu za Route 125 Rongai pia zimeshangazwa na hizi hisia zako za kibinti binti kwenye hii taarifa yako.
Eti trump 124😂😂😂😂😂. Yani nikipanda hii matatu nikajikwaa lazima nikapigwe sindano ya tetenasi. 😂😂😂😂 iko ugly zaidi ya mbwa koko😂😂 it looks like a ride to hell🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom