pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Haina presha mkuu, tukutane tu, ndege saba za KQ zitakuwa zinachapa hiyo route ya New York.Sawa tutakutana tu maana tunakuja kwa speed ya light kwenye aviation business...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina presha mkuu, tukutane tu, ndege saba za KQ zitakuwa zinachapa hiyo route ya New York.Sawa tutakutana tu maana tunakuja kwa speed ya light kwenye aviation business...
Sasa Mkuu hutaki au ni tomaso wenye dege lao wanakuambia ni non stop to USA...au unadhani ni hizi za mapangaboi za bongo...kwenda MZA linaenda kutua KIA kurekebisha WIFI?Sidhani.
Waulize vile bizz plan ya hiyo ndege iko uone majibu utapata...hawajui issue si kununua ndege ila ita run vipi na overall management ili iwe na profit sio just having ndege ambazo ziko grounded.Kq inaanzisha safari kuenda JFK kwa kutumia dreamliner saba CNN inatangaza, Tz inanunua ndenge moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] The whole nation goes to a stand still, including the president! Azam ndio inatangaza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Walikosea wapi hawa majirani.
Tuko mbioni kuweka services hizo pia hapa kwetu Dar es Salaam.I would really like to fly New York - Nairobi and connect to Dar from there. Skip Europe alogether. Although some people will lament about the Zurich duty free chocolates and watches.
Mimi ndiye mlengwa wa hili jibu kweli?Sasa Mkuu hutaki au ni tomaso wenye dege lao wanakuambia ni non stop to USA...au unadhani ni hizi za mapangaboi za bongo...kwenda MZA linaenda kutua KIA kurekebisha WIFI?
Itapendeza zaidi. ATC just got its IATA license back.Tuko mbioni kuweka services hizo pia hapa kwetu Dar es Salaam.
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.Ona wenye wivu waliosema haitofanyika sahii wamebaki kuumwa na kuibeza. Leo Muhimbili itapata wagonjwa wa moyo sii haba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! [emoji1] Ugua pole jombaa, unadhani hii ni ile hafla ya kishamba ya siku nzima ya kukaribisha Bombadier moja? Hivi ni vitu ambavyo wakenya walivitizama tu kwenye Tv. Basi.
Wivu ndio raslimali kubwa TZ.Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.
Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
Kenya mmetuzidi kwa roho mbaya, dunia nzima inajua [emoji23]Wivu ndio raslimali kubwa TZ.
Hahaa! [emoji1] Eti nchi nzima watu hawakulala? Ulijuaje? Au wewe ndio yule popo bawa? [emoji23] Njoo ufanyiwe maooombiii.....[emoji23]Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko mbioni kuweka services hizo pia hapa kwetu Dar es Salaam.
KENYA JUU KENYA JUU JUU KABISA KQ A002 LANDS IN JFK GLORY TO KENYA THE PRIDE OF AFRICA!!!!!!!
Hii ni siri nakupa, huku tuna Barometer ya kuwapima wakenya kama mmelala au majalala. Toka jana inasema hamjalala [emoji23]Hahaa! [emoji1] Eti nchi nzima watu hawakulala? Ulijuaje? Au wewe ndio yule popo bawa? [emoji23] Njoo ufanyiwe maooombiii.....[emoji23]
Tumeisha tangaza tender ya hiyo service, mwenye ubavu aje awekeze. Hao mabig fish wanatafuta ela...! kama wanaona tunaweza kufanya nao biashara ya faida watakuja tu!Sio nyinyi kuamua bro. Kunamabig fish.
Lini Kenyatta kasema ataenda? Munajitekenya na kucheka wenyewe? Si ni nyie mlisema eti serikali yote ya Kenya itaenda na Kisha kuwe na national holiday?😂😂😂😂Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.
Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?