Kenya Airways kuruka moja kwa moja mpaka USA usiku huu

Waulize vile bizz plan ya hiyo ndege iko uone majibu utapata...hawajui issue si kununua ndege ila ita run vipi na overall management ili iwe na profit sio just having ndege ambazo ziko grounded.
 
I would really like to fly New York - Nairobi and connect to Dar from there. Skip Europe alogether. Although some people will lament about the Zurich duty free chocolates and watches.
Tuko mbioni kuweka services hizo pia hapa kwetu Dar es Salaam.
 
Ona wenye wivu waliosema haitofanyika sahii wamebaki kuumwa na kuibeza. Leo Muhimbili itapata wagonjwa wa moyo sii haba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.

Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
 
Hahaha! [emoji1] Ugua pole jombaa, unadhani hii ni ile hafla ya kishamba ya siku nzima ya kukaribisha Bombadier moja? Hivi ni vitu ambavyo wakenya walivitizama tu kwenye Tv. Basi.
Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.

Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
Wivu ndio raslimali kubwa TZ.
 
Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa! [emoji1] Eti nchi nzima watu hawakulala? Ulijuaje? Au wewe ndio yule popo bawa? [emoji23] Njoo ufanyiwe maooombiii.....[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio nyinyi kuamua bro. Kunamabig fish. Mnadharau wazungu alafu mnataka kujipeleka kwao bila kufika standards zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata tabu sana.
Tuko mbioni kuweka services hizo pia hapa kwetu Dar es Salaam.
 
Hahaa! [emoji1] Eti nchi nzima watu hawakulala? Ulijuaje? Au wewe ndio yule popo bawa? [emoji23] Njoo ufanyiwe maooombiii.....[emoji23]
Hii ni siri nakupa, huku tuna Barometer ya kuwapima wakenya kama mmelala au majalala. Toka jana inasema hamjalala [emoji23]
 
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.

Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
Lini Kenyatta kasema ataenda? Munajitekenya na kucheka wenyewe? Si ni nyie mlisema eti serikali yote ya Kenya itaenda na Kisha kuwe na national holiday?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…