Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Wewe huelewi chochote heri ungenyamaza tu, Kwa taarifa yako KQ haiuzwi,pili serikali ya Kenya ndio mmiliki mkuu wa KQ ,kinachofanyika hapa ni kuwaondoa wamiliki binafsi kama KLM na wengine ili KQ iwe [emoji817]% shirika la serikali ndio liweze kumiliki na kuuendesha uwanja wa kimataifa wa jomo Kenyatta.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
NO, kwa KQ serikali hailiipii madeni balj inaliuza shirika ili kutokana na hela watakazopata walipe madeni zitakazobaki zitakua za wenye shirika. Maana imeonekana hata serika ikiilopia KQ bado haitaweza kuzalisha faida na mpango wao wa kupewa JKIA ili waiendeshe ili iwasaifie kupunguza madeni yao imeonekana pia itakua usmuzi mbaya.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app