Kenya Airways Náirobi to New York 1 year Old.

Kenya Airways Náirobi to New York 1 year Old.

Kila siku hua naambia watu hapa JF, shida ya KQ si ukosefu wa abiria... kwahivyo waache kutupigia kelele za sijui fastjet itaua KQ, mara Emirates,ET,Qatar... sasa tuko kwa ATCL na UG airways itaua KQ blah blah blah..... Once again nawaambia, shida ya KQ si ukosefu wa abiria, shida ya KQ ni Financial management na bad expansion strategy iliofanyika kati ya 2011-2015

JFK-NBO so far 594 flights and 105,000 passegers...

105,000/594 passengers = an average of 177 passengers per flight....
Seat configuration ya dreamliners za KQ zina kubali 234 maximum passengers

The average load factor ya safari zote za ndege za KQ ni 72.6% full ..... kwa hii route ya JFK-NBO ni 177/234*100= 75.6%

Hii inamaanisha hii route ya JFK-NBO ina perform vizuri kuliko hata routes zengine ambazo KQ inasafiri kwani iko na load factor ya juu kuliko average load factor ya KQ
 
Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga

Nimelewa ni kiasi gani Kenya National inteligemce service NIS inavyozidi ujanja TISS linapokuja swala la maslahi ya taifa, kumbe zile mbwembwe za kujemga urafiki kati ya Uhuru na Raila ilikuwa ni mbinu ya kumkamata mzee wa misifa?? Naye bila kujua akaingia mtegoni.

NIS iliwalazimisha uhusiano mwema kati ta Raila na Uhuru ili.kulinda maslahi ya wakenya.

Sasa Lamu port hii itaifikisha mbali sana. Hata hizi meli ndogo tu haizifiki dar port lazima zipite Mombasa.

Bro cite the authority, this is not your hand writing.
 
Kila siku hua naambia watu hapa JF, shida ya KQ si ukosefu wa abiria... kwahivyo waache kutupigia kelele za sijui fastjet itaua KQ, mara Emirates,ET,Qatar... sasa tuko kwa ATCL na UG airways itaua KQ blah blah blah..... Once again nawaambia, shida ya KQ si ukosefu wa abiria, shida ya KQ ni Financial management na bad expansion strategy iliofanyika kati ya 2011-2015

JFK-NBO so far 594 flights and 105,000 passegers...

105,000/594 passengers = an average of 177 passengers per flight....
Seat configuration ya dreamliners za KQ zina kubali 234 maximum passengers

The average load factor ya safari zote za ndege za KQ ni 72.6% full ..... kwa hii route ya JFK-NBO ni 177/234*100= 75.6%

Hii inamaanisha hii route ya JFK-NBO ina perform vizuri kuliko hata routes zengine ambazo KQ inasafiri kwani iko na load factor ya juu kuliko average load factor ya KQ

Imeisha hiyo, safi sana...
 
Utaskia eti wakisema.."show za zitto kabwe ni za kitoto, heri za hata makonda"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzembe uliowajaa. Mola na awasaidie
 
Inajua umri wangu mpaka unapanua matako namna hiyo?

Au umegeuka mganga wa kuagua umri za watu?

Fvck off!
Babu,twajua wewe una miaka 65 na wajukuu kumi na tatu,mbona usitumie nywele nyeupe kufikiria Kama wazee wenzako? Heshimu umri wako mzee!
 
594 flights
105,000 passengers
7 times a week
15 American destinations....
Connecting passengers from over 33 countries
Not a single security incident reported.

Tukomae tu, of-course takes time to break-even
Yes we are in good direction
 
Kama mnapanguza matako Waarabu hapo Dar is a slum utatuambia nini. Peleka choo zako kwenye choo
Yeah Dar is a slum..these are some shots around Dar es salaam slums[emoji2]
tapatalk_1572426040400.jpeg
tapatalk_1572426042642.jpeg
tapatalk_1572426037936.jpeg
 
Back
Top Bottom