Huo uzi alikotolea hiyo picha ni wa 2013 kipindi kile Atcl haikuwa hata na ndege.Kipi bora?
Kuajiri foreigner kwenye kampuni ya ndege ya nchi...au nchi kuazimisha ndege kwa foreigner na kuitumia kibiashara kama ndege ya nchi?
Tanzanian hospitality ni ya kiwango cha juu sana. When they say feel at home they mean it.
Hao wanasaidia ku harmonize communications and other things. [emoji28][emoji28]