Kenya Airways staff are Kenyans

Kenya Airways staff are Kenyans

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
KQ Ni mojawapo ya mashirika makubwa ya Ndege hapa Afrika na pia ndio shirika kubwa katika jumuia ya Afrika Mashariki. Ni kitega uchumi na pia muajiri mkubwa hapa Nchini Kenya haswa kwa marubani na wahudumu Kama vile cabin crew na pia wapakiaji mizigo.
Tumeaminishiwa na kina Geza Ulole na joto la jiwe kuwa kule kwao ATCL Ni ya Watanzania Ila ikifika Ni kuajiri Watanzania inakuwa si hivyo 😂😂😂😂
Hii huwezi wapata wamepost hapa Ila mwasiti freelance journalist (MFJ) mwenyewe nilipata nafasi ya kutembea mle na kujionea Haya;
ATCL imeajiri Wazungu, wachina na wakorea kwenye cabin crew Wala sio watanzania 😂😂😂
1182670_ATCL.jpg
 
Hehehe imebidi nichungulie jukwaa la siasa na kupata kuwa Ni kweli these guys have employed foreigners in their National Airlines. Geza Ulole come refute these claims please
 
Kipi bora?

Kuajiri foreigner kwenye kampuni ya ndege ya nchi...au nchi kuazimisha ndege kwa foreigner na kuitumia kibiashara kama ndege ya nchi?

Tanzanian hospitality ni ya kiwango cha juu sana. When they say feel at home they mean it.

Hao wanasaidia ku harmonize communications and other things. [emoji28][emoji28]
 
Huo uzi alikotolea hiyo picha ni wa 2013 kipindi kile Atcl haikuwa hata na ndege.
 
Yani hamna Wadanganyika wanaoweza kufanya kazi ya Airline???Ama wote wamevalia shawl na leso?
 
Back
Top Bottom