Kenya Airways yaanza safari za moja kwa moja hadi Marekani

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, limeanzisha safari za ndege za moja kwa moja kati ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JFK jijini New York .

Rais Uhuru Kenyatta Jumapili usiku aliongoza hatua hiyo ya kihistoria kwa sekta ya safari za ndege nchini Kenya alipozindua safari ya ndege ya kwanza, KQ Boeing 787-8 Dreamliner.

Ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria 234. Tiketi za kawaida zinauzwa Sh89,000
Ndege hiyo itachukua muda wa masaa 15, hii ikiwa imepunguza muda wa zamani wa safari hiyo kwa masaa saba.

Ndege hiyo iliondoka JKIA saa tano kasorobo usiku na inatarajiwa kuwasili uwanja wa JFK saa kumi na dakika 25
Image captionSafari ya kwenda Marekani itapunguzwa kwa saa saba

Miongoni mwa abiria waliosafiri kwa ndege hiyo katika safari yake ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Nairobi hadi jijini New York ni Waziri wa Mashauri ya Nchi za Kigeni balozi Monica Juma na balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec.

Rais Kenyatta alimkabidhi Balozi Juma bendera ya Kenya huku afisa mmoja wa Ubalozi wa Marekani akimkabidhi balozi Godec bendera ya Marekani.

Abiria wengine katika ndege hiyo ni Katibu wa Wizara ya Uchukuzi Esther Koimett na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Kenya Airways Sebastian Mikosz.
 
Umecopy na Kupaste taarifa, Haina hiyo Picha inayozungumziwa!
 
kuwa mpole
20181029_185649.jpg
 
cc: Pascal Mayalla
 
Dreamliner Ni Chuma Cha Pua Kitupu
Kitaanza Kutema Cheche Hivi Punde
 
tunasubiri ya Jiwe sijui inaanza lini Dar to MUMBAI[emoji2][emoji2][emoji2][emoji928][emoji928][emoji928][emoji928]
Ya Jiwe inaenda Dar to KIA non-stop. Kama unarusha jiwe.

Ninesoma sehemu ATC wamerudishiwa uanachama wao wa IATA.

Inaelekea hii ndiyo ilikuwa sababu Dreamliner haikuruka nje.
 
Dreamliner Ni Chuma Cha Pua Kitupu
Kitaanza Kutema Cheche Hivi Punde
kitu kinasepa direct to newyork[emoji574] [emoji574] [emoji574]
nyie mnakalia kupoteza na wasiojulikana[emoji83] [emoji83] [emoji83]
_104072549_cc9bd202-e88d-4ec1-bd2b-f87fb5f75bd5.jpg
_104072543_gettyimages-1054745966.jpg
 
Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, limeanzisha safari za ndege za moja kwa moja kati ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JFK jijini New York .

Rais Uhuru Kenyatta Jumapili usiku aliongoza hatua hiyo ya kihistoria kwa sekta ya safari za ndege nchini Kenya alipozindua safari ya ndege ya kwanza, KQ Boeing 787-8 Dreamliner.

Ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria 234. Tiketi za kawaida zinauzwa Sh89,000
Ndege hiyo itachukua muda wa masaa 15, hii ikiwa imepunguza muda wa zamani wa safari hiyo kwa masaa saba.

Ndege hiyo iliondoka JKIA saa tano kasorobo usiku na inatarajiwa kuwasili uwanja wa JFK saa kumi na dakika 25
Image captionSafari ya kwenda Marekani itapunguzwa kwa saa saba

Miongoni mwa abiria waliosafiri kwa ndege hiyo katika safari yake ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Nairobi hadi jijini New York ni Waziri wa Mashauri ya Nchi za Kigeni balozi Monica Juma na balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec.

Rais Kenyatta alimkabidhi Balozi Juma bendera ya Kenya huku afisa mmoja wa Ubalozi wa Marekani akimkabidhi balozi Godec bendera ya Marekani.

Abiria wengine katika ndege hiyo ni Katibu wa Wizara ya Uchukuzi Esther Koimett na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Kenya Airways Sebastian Mikosz.
cc: jingalao cocochanel Ruttashobolwa stroke @ufipakinondoni
[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji13] [emoji13]
 
@mshana jr
 
Hao wanaopungia ndege wanamaanisha nini?

Taratibu tutafika huko...
 
Back
Top Bottom