No sio TZ ni nchi jirani ya KenyaNdio wapi sasa huko muhoroni...is it tanzania?
Hiyo si wamesema Cape Verde hakuna viwanja vyenye sifa za kutua?Air Tanzania.
Hiyo si wamesema Cape Verde hakuna viwanja vyenye sifa za kutua?
Kashesho.... inakuwaje pole bila rambirambi lakini?Poleni sana majirani
Mmmh hali ni mbaya rafiki wapokee tu hiyo pole hamna namnaKashesho.... inakuwaje pole bila rambirambi lakini?
Hali mbaya? Mbona hujanambia nirekebishe?Mmmh hali ni mbaya rafiki wapokee tu hiyo pole hamna namna
Rekebisha basi mpendwa wanguHali mbaya? Mbona hujanambia nirekebishe?
Babu hata Air Tanzania haiendi hizo sababu walizotoa ni danganya Toto tu shida ni leseni ya anga kimataifa japo ukweli kwao ni sumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo si wamesema Cape Verde hakuna viwanja vyenye sifa za kutua?
Ewaaaaa.... unashangaa waziri wa uchukuzi kapiga kimya... waziri wa michezo ndo anabwabwaja eti kule hakuna viwanja vya kutua.... wonders shall never endBabu hata Air Tanzania haiendi hizo sababu walizotoa ni danganya Toto tu shida ni leseni ya anga kimataifa japo ukweli kwao ni sumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nibeep kwenye voda yangu nifanye muamala...Rekebisha basi mpendwa wangu
Ewaaaaa.... unashangaa waziri wa uchukuzi kapiga kimya... waziri wa michezo ndo anabwabwaja eti kule hakuna viwanja vya kutua.... wonders shall never end
oooooooooohhhR.I.P for those who diedAjali hiyo imetokea leo Oktoba 10 mapema asubuhi kwenye barabara kuu ya Kisumu-Muhoroni katika eneo la Fort Tenan huko Kericho nchini Kenya
Kamanda wa Polisi wa Fort Tenan, OCS Charles Ocharo amesema basi hilo lilikuwa likielekea Kisumu kutokea Nairobi wakati lilipotoka nje ya barabara na kisha kubiringika mara kadhaa
Idadi ya majeruhi bado haijajulikana huku chanzo cha ajali hiyo pia hakijajulikana
======
At least 40 passengers died on Wednesday morning after a bus they were travelling in was involved in a grisly road accident on the Kisumu-Muhoroni highway at Fort Tenan area in Kericho.
Fort Tenan Police Station OCS Charles Ocharo says the bus was heading to kisumu from Nairobi when it veered off a fly over, rolling several times.
The cause of the accident is still unclear, even as rescue efforts continue.
Source: Citizens