Kenya: Ajali ya Basi linalomilikiwa na kampuni ya Western Express yaua watu 50

Kenya: Ajali ya Basi linalomilikiwa na kampuni ya Western Express yaua watu 50

Hiyo si wamesema Cape Verde hakuna viwanja vyenye sifa za kutua?
Babu hata Air Tanzania haiendi hizo sababu walizotoa ni danganya Toto tu shida ni leseni ya anga kimataifa japo ukweli kwao ni sumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babu hata Air Tanzania haiendi hizo sababu walizotoa ni danganya Toto tu shida ni leseni ya anga kimataifa japo ukweli kwao ni sumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaa.... unashangaa waziri wa uchukuzi kapiga kimya... waziri wa michezo ndo anabwabwaja eti kule hakuna viwanja vya kutua.... wonders shall never end
 
Si unajua uongo unataka ujasiri
Ewaaaaa.... unashangaa waziri wa uchukuzi kapiga kimya... waziri wa michezo ndo anabwabwaja eti kule hakuna viwanja vya kutua.... wonders shall never end
 
Over 49 die in Fort Ternan-Kericho

Forty-nine people have died after a bus that was travelling from Nairobi to Kisumu crashed at Fort Ternan on Londiani-Muhuroni Road, Kericho County, Police Commander, James Mogera has said. The 67-seater bus is said to have veered off the road while descending a steep slope. The bus then hit a guardrail, rolled and plunged down about 20 meters. Eyewitnesses said the accident happened at about 5am.
 
Sijui tutawapa nini rafiki na ndugu zetu hawa..wao kila janga wapo mstari wa mbele kutusaidia.
Nakumbuka tetemeko then currently MV Nyerere walitoa 125M lkn sisi tunaweza piga kimya hivi hivi hata pole ya maandishi tusitoe.
Poleni sana Wakenya
 
Ajali hiyo imetokea leo Oktoba 10 mapema asubuhi kwenye barabara kuu ya Kisumu-Muhoroni katika eneo la Fort Tenan huko Kericho nchini Kenya

Kamanda wa Polisi wa Fort Tenan, OCS Charles Ocharo amesema basi hilo lilikuwa likielekea Kisumu kutokea Nairobi wakati lilipotoka nje ya barabara na kisha kubiringika mara kadhaa

Idadi ya majeruhi bado haijajulikana huku chanzo cha ajali hiyo pia hakijajulikana

======
At least 40 passengers died on Wednesday morning after a bus they were travelling in was involved in a grisly road accident on the Kisumu-Muhoroni highway at Fort Tenan area in Kericho.

Fort Tenan Police Station OCS Charles Ocharo says the bus was heading to kisumu from Nairobi when it veered off a fly over, rolling several times.

The cause of the accident is still unclear, even as rescue efforts continue.

Source: Citizens
oooooooooohhhR.I.P for those who died
 
Poleni wote waliopoteza wapendwa wao.

lakini kuna kitu kinatakiwa kifanyike. sasa tunakuwa kama kuku tukio likitokea tunashangaa halafu baadaye tunasahau.
 
Back
Top Bottom