Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Nasikia KDF waliamua kujificha kwenye vichaka vya majani mengi...aisee KDF ni mdebwedo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani wanatafuta wa kulaumu ilhali ni wao ndo walifeli kushika doria!!!!Nasikia KDF waliamua kujificha kwenye vichaka vya majani mengi...aisee KDF ni mdebwedo!
Wanajeshi wa marekani ndo walikua wanashika doria asubuhi ya kuamkia hio siku, wasitafute visababu kwani walipatwa kama mamelala ndani ya magari yao ya kivita badala ya kua makini kushika doria..![]()
Wanajeshi wa Kenya wadaiwa 'kutoroka' shambulio la al-Shabab Lamu - BBC News Swahili
Majeshi ya Kenya yamepinga vikali madai yaliochapishwa katika gazeti la New York Times kwamba maafisa wake "walijificha kwenye nyasi"www.google.com
Americans ni madogi. Anytime wanapigana na a third world country, wanatandikwa. Cheki Vietnam, cheki Afghanistan.Americans walidhani vest zao zitawezana na PKM, hahaa .... Americans believe in close quarter battle with overwhelming fire power. Look where it got them .
Furthermore you can't return fire without cover and tactical advantage.
Vita haichagui third world country, middle income,big economy au g8 ukiingia copy zingine fasta tu unatulia.. unaweza kuona nchi masikini tu lakini peleka sharubu zako kama hujatolewa kinyesi..kuna nchi ni ldc haswaa lakini ziko njema pande hizo!Americans ni madogi. Anytime wanapigana na a third world country, wanatandikwa. Cheki Vietnam, cheki Afghanistan.
Ni kweli.Vita haichagui third world country, middle income,big economy au g8 ukiingia copy zingine fasta tu unatulia.. unaweza kuona nchi masikini tu lakini peleka sharubu zako kama hujatolewa kinyesi..kuna nchi ni ldc haswaa lakini ziko njema pande hizo!