Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

Duh kuna watu wana roho mbaya/ngumu huu msiba umekosa emotions kabisa tofauti na misiba ya kibongo full vilio.

Yaani ndugu jamaa wa marehemu wanaangalia wakiwa mbali hawana msaada wowote, ingekua ni nyumbani kwetu kungekuwa na patashika hapo, kwanza hao madaktari na police wangekua marehemu hapo hapo.

Huo umati ungegawana majukumu, wa kuhangaika na ndugu yetu na wa kuhangaika na hao waliosema amekufa.
 
Failed state Chinese class one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgonjwa wa Covid-19 aliyedhaniwa kafa aliviringwa kwenye PPE na taratibu zote za mazishi zikafanyika. Ni wakati mwili uko kwenye jeneza tayari kwa maziko....wafiwa wakagundua jeneza linatetema...Shughuli ya mazishi ikaahirishwa jeneza likafunguliwa na kukutwa marehemu bado anapumua..Tazama video.
View attachment 1546971

Jr[emoji769]
Huyo ndio kajulikana je washafanya hivyo Kwa wangapi? Kenya ni kichwa cha mwendawazimu.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kwahiyo madaktari wa middle county walithibitisha huyu mgonjwa kafariki. Sijui ule mgomo umeisha au ndio unaendelea hivi.
 
Back
Top Bottom