Kenya: Alshabab yaua POLISI 7 wa Kenya, mmoja hajulikani alipo

Kenya: Alshabab yaua POLISI 7 wa Kenya, mmoja hajulikani alipo

Wakenya waliuwawa kwenye hii Vita wanafika 700, wameua shabab hawazidi 10
Inakadiriwa kwamba zaidi ya wakenya 2,500 wakiwemo raia, polisi na wanajeshi wa KDF wameshapoteza maisha, tangu Kenya kununua vita visivyowahusu.

Walipaswa kupeleka KDF mpakani mwa Kenya na Somalia ili kuzuia Alshabab kuingia Kenya, kinachotokea sasa hivi ni kukimbilia kuzima moto nyumbani kwa jirani na kuacha NYUMBA yako ikiteketea, huko Somalia pia mauaji yametokea Jana.

Ukichukulia hali mbaya ya uhusiano kati ya Kenya na Somalia kwasasa, Kenya ipo katika wakati mgumu Sana wa kuamua kubaki Somalia au kuondoka, kwasababu kuna uwezekano mkubwa sana wananchi wa Somalia wajashirikiana na Alshabab kuwamaliza KDF ndani ya Somalia.
 
Unajua nimegundua kitu kupitia wakenya... Yaan nchi hata iwe na jeshi na mavifaa ya kutosha ila kama viongozi hawana akili hata kibaka atakusumbuaa
Kwa ujumla 89% ya wakenya wana tatizo la " Rational thinking", wanapenda sana kufanya mambo yatakayowafanya waonekane wapo juu, kuliko kuangalia uhalisia, hawakuwa na sababu yoyote kupeleka Jeshi Somalia kuzuia KDF kuingia Kenya.

Wao kama kawaida walikuwa wanadanganyana kwamba wana jeshi bora, wakaenda kichwa kichwa, sasa hivi wamekuwa, kubaki Somalia hawawezi na kurudi wanajisikia aibu kuambiwa wameshindwa na Alshabab.
 
Ndio madhara ya kukurupukia mambo wakati hujafanya intelligencia ya maana na uzoefu huna.. Ona sasa askari wanakufa na viongoz hawajali, sijui hawajui kua hata hao askari wanafamilia na wapendwa wao asee.. Poor Kenyans
 
Poleni sana majirani zetu.

Ila pia pongezi kwa kuwa na bajeti kubwa ya ulinzi.

Lakini la msingi ni.... ukubwa wa bajeti ya ulinzi iendane sambamba na kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wa kenya walioko nchi nzima na si nairobi tu.
 
Waongeze basi hata intelijensia ya nguvu huko north east...
Kipindi cha mauaji Yale ya watoto kule Njombe nilitembelea kipindi kile kule asee walimwagwa jamaa kama mia mbili yaan kila sehem kila chochoro mbona week mbili waliohusika na mtandao mzima walidakwa wotee yaan wootee hadi alokua anawatuma SAA wao wanashindwa nn jaman??? Haya mambo ni kujiorganize vizur mchezo unaisha fasta
 
Kitu kingine kingine kenya ina wasomali wengi koo kumtambua gaidi miongoni mwao ni sheeda

Kenya is very weak when it comes to the security and protecting her boarders. This is why the illegal migrants Ethiopians are crossing kenya freely like oxygen molecules which give us a high time of aresting them. But in this issue you can't hear kenya has cought illegal immigrants. That is a big sign of corruption because some officials are reaping a lot for illegally hosting these people.
 
Kwa ujumla 89% ya wakenya wana tatizo la " Rational thinking", wanapenda sana kufanya mambo yatakayowafanya waonekane wapo juu, kuliko kuangalia uhalisia, hawakuwa na sababu yoyote kupeleka Jeshi Somalia kuzuia KDF kuingia Kenya.

Wao kama kawaida walikuwa wanadanganyana kwamba wana jeshi bora, wakaenda kichwa kichwa, sasa hivi wamekuwa, kubaki Somalia hawawezi na kurudi wanajisikia aibu kuambiwa wameshindwa na Alshabab.
Tulienda Somalia kwa sababu tourists walikuwa wanatekwa nyara pwani ya Kenya. Nchi za nje zikatoa tahadhari kuwa wananchi wao wasije Kenya. Tulienda huko kwa sababu maalum ya kuwatandika hao mashetani na mpaka sasa, tunabakia huko kama gundi. KDF kazi yao ni kupigana na hawajalalamika, sijui wewe unalalamika kwa nini? Una ndugu au dada KDF?
 
Wewe unajua wazi kwamba haukua uamuzi wa busara KDF kwenda Somalia, juzi tu ulisema kama sababu ilikua ni kuzuia Alshabab kuteka watalii, ni bora mngepeleka KDF ili kuimarisha doria katika mpaka wa Somalia wakati mmkiendelea kujenga ukuta.

Sasa ninakuuliza swali, gharama ya kuwalinda watalii wasitekwe na Alshabab ni uhai wa wakenya wanaouliwa kila siku?. Kabla ya KDF kwenda Somalia na baada ya KDF kwenda Somalia, ni kipindi kipi Kenya ilikua na amani?.

Jaribu kukaa chini na kujichunguza jinsi mnavyofikia maamuzi yenu, msijisikie vibaya kukubali pale mnaposhauriwa, kuendelea na ukaidi kudhani kwamba hamkosei, ni kuendelea kulimbikiza ujinga.
 
Back
Top Bottom