Sherlock
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 1,375
- 1,362
Hata nyinyi hamngekuwa na amani Kama hatungeenda somalia .kumbuka alshabaab waliwahi kufanya mashambulizi hadi Kampala .tungewapatia muda kidogo wangepiga hodi pale Arusha ama Daresalaam.Tunachotaka kuona na wananchi wakenya wakiishi kwa amani bila kuuliwa kama ilivyokua kabla ya KDF kwenda Somalia, hayo mengine hatuyahitaji.
Sisi tumekuwa kama buffer zone Kati yenu na somalia ,usisahau pia Kuna watanzania wengi walikuwa wamejiunga na alshabaab kipindi kile ambacho alshabaab ilikua na influence hata ya ku recruit foreign fighters.