joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Inakadiriwa kwamba zaidi ya wakenya 2,500 wakiwemo raia, polisi na wanajeshi wa KDF wameshapoteza maisha, tangu Kenya kununua vita visivyowahusu.Wakenya waliuwawa kwenye hii Vita wanafika 700, wameua shabab hawazidi 10
Sidhani kama wanajua hiyo kanda maalumu ni nini, ni wagumu sana kujifunza toka kwa majirani, wao wanajua kila kitu.Poleni wakenya but jamani kwan hamwezi kwenda kuweka kanda maalum huko north east mambo yakatulia tu wananchi na polisi wasiendelee kufa??
Unajua nimegundua kitu kupitia wakenya... Yaan nchi hata iwe na jeshi na mavifaa ya kutosha ila kama viongozi hawana akili hata kibaka atakusumbuaaSidhani kama wanajua hiyo kanda maalumu ni nini, ni wagumu sana kujifunza toka kwa majirani, wao wanajua kila kitu.
Inakadiriwa kwamba zaidi ya wakenya 2,500 wakiwemo raia, polisi na wanajeshi wa KDF wameshapoteza maisha,tangu Kenya kununua vita visivyowahusu..
Kwa ujumla 89% ya wakenya wana tatizo la " Rational thinking", wanapenda sana kufanya mambo yatakayowafanya waonekane wapo juu, kuliko kuangalia uhalisia, hawakuwa na sababu yoyote kupeleka Jeshi Somalia kuzuia KDF kuingia Kenya.Unajua nimegundua kitu kupitia wakenya... Yaan nchi hata iwe na jeshi na mavifaa ya kutosha ila kama viongozi hawana akili hata kibaka atakusumbuaa
Ndio madhara ya kukurupukia mambo wakati hujafanya intelligencia ya maana na uzoefu huna.. Ona sasa askari wanakufa na viongoz hawajali, sijui hawajui kua hata hao askari wanafamilia na wapendwa wao asee.. Poor KenyansKwa ujumla 89% ya wakenya wana tatizo la " Rational thinking", wanapenda sana kufanya mambo yatakayowafanya waonekane wapo juu, kuliko kuangalia uhalisia, hawakuwa na sababu yoyote kupeleka Jeshi Somalia kuzuia KDF kuingia Kenya.
Wao kama kawaida walikuwa wanadanganyana kwamba wana jeshi bora, wakaenda kichwa kichwa, sasa hivi wamekuwa, kubaki Somalia hawawezi na kurudi wanajisikia aibu kuambiwa wameshindwa na Alshabab.
HaswaaKitu kingine kingine kenya ina wasomali wengi koo kumtambua gaidi miongoni mwao ni sheeda
Waongeze basi hata intelijensia ya nguvu huko north east...Haswaa
Kitu kingine kingine kenya ina wasomali wengi koo kumtambua gaidi miongoni mwao ni sheeda
Wanajua kubaka wanawake na kuiba tu !! mengine ni zerooo sijui nan mwalimu wao!!Polisi na jeshi la kenya ni mdebwedo
Tulienda Somalia kwa sababu tourists walikuwa wanatekwa nyara pwani ya Kenya. Nchi za nje zikatoa tahadhari kuwa wananchi wao wasije Kenya. Tulienda huko kwa sababu maalum ya kuwatandika hao mashetani na mpaka sasa, tunabakia huko kama gundi. KDF kazi yao ni kupigana na hawajalalamika, sijui wewe unalalamika kwa nini? Una ndugu au dada KDF?Kwa ujumla 89% ya wakenya wana tatizo la " Rational thinking", wanapenda sana kufanya mambo yatakayowafanya waonekane wapo juu, kuliko kuangalia uhalisia, hawakuwa na sababu yoyote kupeleka Jeshi Somalia kuzuia KDF kuingia Kenya.
Wao kama kawaida walikuwa wanadanganyana kwamba wana jeshi bora, wakaenda kichwa kichwa, sasa hivi wamekuwa, kubaki Somalia hawawezi na kurudi wanajisikia aibu kuambiwa wameshindwa na Alshabab.
Wewe unajua wazi kwamba haukua uamuzi wa busara KDF kwenda Somalia, juzi tu ulisema kama sababu ilikua ni kuzuia Alshabab kuteka watalii, ni bora mngepeleka KDF ili kuimarisha doria katika mpaka wa Somalia wakati mmkiendelea kujenga ukuta.Tulienda Somalia kwa sababu tourists walikuwa wanatekwa nyara pwani ya Kenya. Nchi za nje zikatoa tahadhari kuwa wananchi wao wasije Kenya. Tulienda huko kwa sababu maalum ya kuwatandika hao mashetani na mpaka sasa, tunabakia huko kama gundi. KDF kazi yao ni kupigana na hawajalalamika, sijui wewe unalalamika kwa nini? Una ndugu au dada KDF?