joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #81
Sasa mbona ninyi ndio mnaokufa?. Ulipaswa kujibu kwamba "Hadi watumalize wakenya wote".Hadi mashetani wafe wote.
Ni sawa, upo sahihi lakini tumejifunza pia. Shabab sasa iko weak kushinda ilivyokuwa 2011, natumai serikali ya Kenya itaongeza ulinzi katika border. Kumbuka hakuna mtu anayejua kila kitu, KDF wamejifunza mengi na sasa hivi, wana ujuzi kuhusu kupambana na ugaidi ambao hawakuwa nao kabla ya mwaka wa 2011. Hakuna Mwanajeshi ambaye alifunzwa chuoni jinsi ya kupambana na ugaidi. Kenya na nchi nyingine hapa Africa including T.Z, curriculum ya mafunzo ni jinsi ya kupigana na nchi nyingine. Battle tactics, battle formations na mambo kama hayo. Adui yako unamuona vizuri na amevalia magwanda ya kijeshi kumtofautisha na raia wa kawaida. Adui yako anajitokeza wazi wazi kupigana na wewe bila kijificha. Cowardice in the military ni makosa makubwa na unaweza kufungwa jela kwa kuwa na uwoga au kujificha. Lakini kupambana na gaidi ni jambo ambalo hata U.S wameshindwa kupambana nalo. Hakuna mtu anayejua jinsi ya kupambana na ugaidi isipokuwa kufunga border na kuhakikisha unachunguza kila mtu anayeingia na kutoka. Battle tactics na battle formations haziwezi kukusaidia wakati unapambana na gaidi. Gaidi akiona mpo wengi na mmekuja kwa hasira na machungu huku mkiwa na attack helicopters, bazooka na machine guns huku yeye hana chochote isipokuwa AK47, gaidi ni mjanja sana anatoroka na kujificha na kungojea hadi apate mwanya wa kushambulia, anatafuta weaknesses in the system, ni kama hacker wa computer, humuoni lakini siku moja unashangaa amepata access ya computer yako na ameiba data yako. Kenya ina ujuzi ,kwa kiwango cha wastani, wa kupambana na ugaidi japo bado tuna mengi sana ya kujifunza hadi ile siku hakutakuwa na maafa ya Mkenya yeyote kwa mikono ya hawa mashetani.Sio sawa mlivyofanya hata kidogo, kabla hujatoka kwenda kumuangamiza adui, ni lazima uwe na uhakika kwamba ndani ya nchi yako upo vizuri.
Kama moto unasambaa kuja shambani au NYUMBANI kwako, unaanza kutengeneza "fire break" kuzunguka nyumba yako kwanza, ili moto usifike nyumbani kwako, baada ya hapo, unaanza kuuzima kutokea jirani na kwako kuelekea kwenye chanzo cha moto. Ninyi mlichofanya, mlipoona moto unakuja Kenya kutokea Somalia, mlienda kuuzima kuanzia katika chanzo chake wakati hamjatengeneza "fire break", matokeo yake, moto unaunguza nyumba zenu wakati ninyi bado mnashughulika na Chanzo.
Tanzania tulipokua tumezungukwa na wakoloni wa kizungu katika nchi tulizopakana nazo kusini, tuliimarisha ulinzi wa ndani ya nchi kwanza, kuhakikisha hakuna mtu ataweza kuingia ndani ya nchi na kufanya mashambulizi, " Ndio chimbuko la NYUMBA KUMI". Kisha tukaanza kujenga kambi nyingi za jeshi katika mpaka wa Msumbiji na Tanzania, ndio tukaanza vita kutokea Tanzania kuelekea ndani ya Msumbiji. Pamoja na kwamba tulipigana na " more advanced army kuliko sisi, lakini ndani ya Tanzania kulibaki salama.
Bado hatujaelewana katika sehemu moja. Wewe unazungumzia vita ndani ya Somalia kati ya KDF na Alshabab, kwamba KDF wanapambana na magaidi, kwahiyo hawawajui vizuri watu wanapambana nao, hiyo sio eneo tunalolizungumza kwa sasa, japo hata hilo sio kweli, kwasababu Alshabab kama ilivyo Boko haram na ISIS, ni jeshi kamili, wanavaa uniform, wanatumia silaha kubwa yakiwemo MAGARI ya kivita waliyoteka baada ya kushambulia kambi za KDF na jeshi la Burundi, na wamekamata Eneo kubwa la Somalia.Ni sawa, upo sahihi lakini tumejifunza pia. Shabab sasa iko weak kushinda ilivyokuwa 2011, natumai serikali ya Kenya itaongeza ulinzi katika border. Kumbuka hakuna mtu anayejua kila kitu, KDF wamejifunza mengi na sasa hivi, wana ujuzi kuhusu kupambana na ugaidi ambao hawakuwa nao kabla ya mwaka wa 2011. Hakuna Mwanajeshi ambaye alifunzwa chuoni jinsi ya kupambana na ugaidi. Kenya na nchi nyingine hapa Africa including T.Z, curriculum ya mafunzo ni jinsi ya kupigana na nchi nyingine. Battle tactics, battle formations na mambo kama hayo. Adui yako unamuona vizuri na amevalia magwanda ya kijeshi kumtofautisha na raia wa kawaida. Adui yako anajitokeza wazi wazi kupigana na wewe bila kijificha. Cowardice in the military ni makosa makubwa na unaweza kufungwa jela kwa kuwa na uwoga au kujificha. Lakini kupambana na gaidi ni jambo ambalo hata U.S wameshindwa kupambana nalo. Hakuna mtu anayejua jinsi ya kupambana na ugaidi isipokuwa kufunga border na kuhakikisha unachunguza kila mtu anayeingia na kutoka. Battle tactics na battle formations haziwezi kukusaidia wakati unapambana na gaidi. Gaidi akiona mpo wengi na mmekuja kwa hasira na machungu huku mkiwa na attack helicopters, bazooka na machine guns huku yeye hana chochote isipokuwa AK47, gaidi ni mjanja sana anatoroka na kujificha na kungojea hadi apate mwanya wa kushambulia, anatafuta weaknesses in the system, ni kama hacker wa computer, humuoni lakini siku moja unashangaa amepata access ya computer yako na ameiba data yako. Kenya ina ujuzi ,kwa kiwango cha wastani, wa kupambana na ugaidi japo bado tuna mengi sana ya kujifunza hadi ile siku hakutakuwa na maafa ya Mkenya yeyote kwa mikono ya hawa mashetani.
Boss hujui unacho sema the whole of NFD (North Eastern) has always been a militarized zone since independenceThe problems is you are not organized, you were supposed to build war along your border with Somalia before to go to Somali if it was necessary, not other way round.
This are what we call long term projects....The materialise as time goes by.Eg The idea of building bypasses in Kenya to ease congestion in Nairobi started in the 1970s .only in recent years thats when the ideas are materialising.Bado hatujaelewana katika sehemu moja. Wewe unazungumzia vita ndani ya Somalia kati ya KDF na Alshabab, kwamba KDF wanapambana na magaidi, kwahiyo hawawajui vizuri watu wanapambana nao, hiyo sio eneo tunalolizungumza kwa sasa, japo hata hilo sio kweli, kwasababu Alshabab kama ilivyo Boko haram na ISIS, ni jeshi kamili, wanavaa uniform, wanatumia silaha kubwa yakiwemo MAGARI ya kivita waliyoteka baada ya kushambulia kambi za KDF na jeshi la Burundi, na wamekamata Eneo kubwa la Somalia.
Ninachokizungumza ni kushindwa kwa Kenya kuimarisha ulinzi ndani ya Kenya na katika mipaka ya Kenya, ili Alshabab wasiweze kuingia na kufanya mashambulizi ya Mara kwa Mara, kama walivyofanikiwa Ethiopia na Uganda, mumeharibu kuiga mfumo wa "NYUMBA KUMI", Lakini mumeshindwa, wakati Uganda na Burundi waliiga na unawasaidia sana.
Tatizo kubwa ni kwamba Kenya mlienda Somalia bila kujiandaa kikamilifu, mlidhani ingekuwa rahisi sana, na hii ni kawaida yenu kufanya mambo haraka haraka bila kuwa na maandalizi ya kutosha, yaani mkifikiria kitu kabla hata hamjapata " information " za kutosha, ninyi mnaanza kutekeleza, baadae mkifika katikati ndio mnaanza kulaumiana, yamejitokeza katika,
1)Greenfield terminal
2) LAPSET
3)Galana Kulalu
4)Kujenga BOMBA la crude oil toka Lakachir to Lamu
5) Kubeba crude oil kwa barabara
6)Coalition of the willing
7)Kuanza kwa route ya USA by KQ
8)Ukodishaji wa Ndege kubwa zenye kutumia mafuta mengi kwa safari ndefu bila kufanya utafiti wa kutosha kulikofanywa na KQ
9)Kupeleka jeshi Somalia bila kuimarisha usalama wa ndani ya nchi na mipakani.
10)Kulazimisha kujiunga na EPA bila kuangalia athari ya viwanda vya ndani.
Haya ni baadhi tu ya mambo mengi yabayotokana na tabia ya viongozi wa Kenya kukurupuka katika kufanya maamuzi.
Sio kweli, kama ni kweli, basi vyombo vyenu vya ulinzi na usalama ni dhahifu sana kuweza kuwazuia Alshabab kujipenyeza, kama hayo unayosema ni kweli, iweje Alshabab wanaingia na kuuwa wanafunzi katika chuo kikuu na kuweza kurudi Somalia bila kudhibitiwa?.Boss hujui unacho sema the whole of NFD (North Eastern) has always been a militarized zone since independence
If your were to travel from Garrisa to mandera Lazima ungekuwa na police escort that was even before kdf went into somalia.
.Kenya airforce wana base huko mandera karibu na Mpaka wa somalia .
Garrisa Kuna kambi karibu tatu za Jeshi
Boni forest karibu na Mpaka wa somalia kumekuweko na kambi za kijeshi
Pia polisi wa border patrol (RPBU) wanafanya operisheni zao huko na wanakambi nyingi tu karibu na border na hata somalia.
Us airforce pia wana forward operating base zao mandera na Manda bay lamu
Boni forest in lamu Kuna joint operation ya kuflash out terror elements huko.
Wana magari ngapi kwa jumla ?....hahaBado hatujaelewana katika sehemu moja. Wewe unazungumzia vita ndani ya Somalia kati ya KDF na Alshabab, kwamba KDF wanapambana na magaidi, kwahiyo hawawajui vizuri watu wanapambana nao, hiyo sio eneo tunalolizungumza kwa sasa, japo hata hilo sio kweli, kwasababu Alshabab kama ilivyo Boko haram na ISIS, ni jeshi kamili, wanavaa uniform, wanatumia silaha kubwa yakiwemo MAGARI ya kivita waliyoteka baada ya kushambulia kambi za KDF na jeshi la Burundi, na wamekamata
Green field terminal ni long term?. Mlitangazia dunia kwamba ni "Project" muhimu sana kwa sasa na itabadilisha uchumi wa nchi, mkatenga pesa na mradi ukafunguliwa kwa bashasha na vigelegele pale JKIA mbele ya mabalozi wa nchi Mbalimbali, Uhuru Kenyatta alitoa hotuba nzuri sana kuekeza umuhimu wa huo mradi kwa sasa, mradi ukaanza kujengwa, kama ilivyokua kwa Galana Kulalu, SGR, na Lamu port, kumbe hamkufanya maandalizi yoyote, wakati mradi unaendelea kujengwa, pesa ikaisha, ghafla Uhuru Kenyatta akabadilisha kauli, akasema huo mradi sio muhimu kwasasa, hayo ndio maamuzi ya viongozi wenu, hovyo kabisa.This are what we call long term projects....The materialise as time goes by.Eg The idea of building bypasses in Kenya to ease congestion in Nairobi started in the 1970s .only in recent years thats when the ideas are materialising.
Every country have it's long term plans labda kwenyu ndo mnakurupuka kukimbizana na Kenya .
Unaumwa wewe, Alshabab wanashikilia South west part ya Somalia baada ya kutolewa Kismayo, huko hakuna jeshi la nchi yoyote linaweza kufikia, kama wslivyokaa Mogadishu na Kismayo kwa muda mrefu, ndege yenu ya kivita ilipodunguliwa na kuanguka katika eneo linaloshikiliwa na Alshabab, mlishindwa kwenda kumtafuta rubani wenu kwasababu hilo ni eneo lao.Wana magari ngapi kwa jumla ?....haha
Alshabaab blends into local communities to make it a lot easier to win support and gain a foothold. On the ground, they assure people that they will not be harmed in the territories they are seeking to control, provided locals do not cooperate with the military and government officers. They collect taxes and distribute food to the locals .
It's more of an idealogical war .
Wakishambulia wao hutumia IEDs and mostly target moving conveys.
Kisha wanajificha miongoni mean raia was kawaida.
All those are long-term projectsGreen field terminal ni long term?. Mlitangazia dunia kwamba ni "Project" muhimu sana kwa sasa na itabadilisha uchumi wa nchi, mkatenga pesa na mradi ukafunguliwa kwa bashasha na vigelegele pale JKIA mbele ya mabalozi wa nchi Mbalimbali, Uhuru Kenyatta alitoa hotuba nzuri sana kuekeza umuhimu wa huo mradi kwa sasa, mradi ukaanza kujengwa, kama ilivyokua kwa Galana Kulalu, SGR, na Lamu port, kumbe hamkufanya maandalizi yoyote, wakati mradi unaendelea kujengwa, pesa ikaisha, ghafla Uhuru Kenyatta akabadilisha kauli, akasema huo mradi sio muhimu kwasasa, hayo ndio maamuzi ya viongozi wenu, hovyo kabisa.
Ndio maana nilianza kwa kukubali kwamba tulifanya makosa hapa na pale na hio ndio hali ya maisha hata Jeshi ya Marekani pia imefanya makosa mara nyingi na ikajifunza na nikasema tumejifunza na tutazidi kujifunza. Sijapinga ulichosema, hata nilikubaliana na wewe ukisoma vizuri nilichosema .Bado hatujaelewana katika sehemu moja. Wewe unazungumzia vita ndani ya Somalia kati ya KDF na Alshabab, kwamba KDF wanapambana na magaidi, kwahiyo hawawajui vizuri watu wanapambana nao, hiyo sio eneo tunalolizungumza kwa sasa, japo hata hilo sio kweli, kwasababu Alshabab kama ilivyo Boko haram na ISIS, ni jeshi kamili, wanavaa uniform, wanatumia silaha kubwa yakiwemo MAGARI ya kivita waliyoteka baada ya kushambulia kambi za KDF na jeshi la Burundi, na wamekamata Eneo kubwa la Somalia.
Ninachokizungumza ni kushindwa kwa Kenya kuimarisha ulinzi ndani ya Kenya na katika mipaka ya Kenya, ili Alshabab wasiweze kuingia na kufanya mashambulizi ya Mara kwa Mara, kama walivyofanikiwa Ethiopia na Uganda, mumeharibu kuiga mfumo wa "NYUMBA KUMI", Lakini mumeshindwa, wakati Uganda na Burundi waliiga na unawasaidia sana.
Tatizo kubwa ni kwamba Kenya mlienda Somalia bila kujiandaa kikamilifu, mlidhani ingekuwa rahisi sana, na hii ni kawaida yenu kufanya mambo haraka haraka bila kuwa na maandalizi ya kutosha, yaani mkifikiria kitu kabla hata hamjapata " information " za kutosha, ninyi mnaanza kutekeleza, baadae mkifika katikati ndio mnaanza kulaumiana, yamejitokeza katika,
1)Greenfield terminal
2) LAPSET
3)Galana Kulalu
4)Kujenga BOMBA la crude oil toka Lakachir to Lamu
5) Kubeba crude oil kwa barabara
6)Coalition of the willing
7)Kuanza kwa route ya USA by KQ
8)Ukodishaji wa Ndege kubwa zenye kutumia mafuta mengi kwa safari ndefu bila kufanya utafiti wa kutosha kulikofanywa na KQ
9)Kupeleka jeshi Somalia bila kuimarisha usalama wa ndani ya nchi na mipakani.
10)Kulazimisha kujiunga na EPA bila kuangalia athari ya viwanda vya ndani.
Haya ni baadhi tu ya mambo mengi yabayotokana na tabia ya viongozi wa Kenya kukurupuka katika kufanya maamuzi.
Humu ndani natamani hata ka kutakua na kiiongozi au usalama wa taifa wa Kenya ayaone maoni mbalimbali wanaweza kupata kitu humu kikawasaidiaa
Sio kweli kwamba washambulizi wa chuo kikuu walishambulia na kurudi Somalia. Hao watu wanne au watano vichwa vyao vilipasuliwa na hata miili yao kuwekwa nyuma ya pickup na kuzungushwa Garissa town ili iwe funzo kwa mashetani wengine. Nakumbuka nikisoma hio article.Sio kweli, kama ni kweli, basi vyombo vyenu vya ulinzi na usalama ni dhahifu sana kuweza kuwazuia Alshabab kujipenyeza, kama hayo unayosema ni kweli, iweje Alshabab wanaingia na kuuwa wanafunzi katika chuo kikuu na kuweza kurudi Somalia bila kudhibitiwa?.
Lengo la kuweka kambi za jeshi katika mpaka, sio kuonyesha kwamba kuna wanajeshi wapo mkani, ila ni kudhibiti wahalifu kuingia na kutoka kwa urahisi.
Ila ninajua unazungumza ili kujitetea, lakini kiukweli hakuna ulinzi wowote wa maana zaidi ya hao polisi wanaokwenda kufanya patrol nyakati za mchana, na kurudi mjini usiku. Kumbuka lile shambulio la chuo kikuu kule Garisa, lilidumu kwa zaidi ya masaa matatu hadi kulipokucha ndio usadizi ukatoka Mombasa na Nairobi, kama kungekuwepo na kambi ya jeshi, kwanini wasingekuwa wa kwanza kufikia?, na kama Alshabab wangejua kuna kambi ya jeshi jirani, kamwe wasengeweza kwenda kufanya shambulizi na kuondoka, labda wangepeleka suiciders
Jamaa anapingana na sisi kuhusu Al Shabab tactics anadhani Mtanzania kama yeye anaweza fahamu mambo mengi kuhusu Shabab kushinda Wakenya. I don't see how a Tanzanian can purport to be teaching Kenyans on how to fight Shabab and yet they have never dealt with even a single Shabab attack.Wana magari ngapi kwa jumla ?....haha
Alshabaab blends into local communities to make it a lot easier to win support and gain a foothold. On the ground, they assure people that they will not be harmed in the territories they are seeking to control, provided locals do not cooperate with the military and government officers. They collect taxes and distribute food to the locals .
It's more of an idealogical war .
Wakishambulia wao hutumia IEDs and mostly target moving conveys.
Kisha wanajificha miongoni mean raia wa kawaida.
Naomba katika hili tuthibitishe hoja zetu, Mimi nitakuletea ushahidi wenyekyonyesha kwamba washambuliaji waliweza kushambulia kwa zaidi ya masaa matatu na kurudi Somalia bila kukamatwa, na wewe lete ushahidi kwamba walikamatwa siku hiyo ya tukio.Sio kweli kwamba washambulizi wa chuo kikuu walishambulia na kurudi Somalia. Hao watu wanne au watano vichwa vyao vilipasuliwa na hata miili yao kuwekwa nyuma ya pickup na kuzungushwa Garissa town ili iwe funzo kwa mashetani wengine. Nakumbuka nikisoma hio article.
Unaumwa wewe, Alshabab wanashikilia South west part ya Somalia baada ya kutolewa Kismayo, huko hakuna jeshi la nchi yoyote linaweza kufikia, kama wslivyokaa Mogadishu na Kismayo kwa muda mrefu, ndege yenu ya kivita ilipodunguliwa na kuanguka katika eneo linaloshikiliwa na Alshabab, mlishindwa kwenda kumtafuta rubani wenu kwasababu hilo ni eneo lao.
Mbinu wanazotumia katika vita ni gorilla war, ambayo hasa wanatumia ambush tactic, hii ni mbinu nzuri sana ya kivita na inatumiwa na majeshi yote duniani, ndio sababu jeshi lazima liwe na " very good military intelligence unit", ili kugundua movements za maadui mapema kabla ya kuwa "ambushed". Kenya you have very poor military and civilian intelligence Units".
Alshabaab operations in Kenya are carried out by (grassroots sleeper cells) that have connections with the main group in somalia.where they get their orders from.Those attacks that happen in Kenya are done by Kenyan alshabaab affliate.Sio kweli, kama ni kweli, basi vyombo vyenu vya ulinzi na usalama ni dhahifu sana kuweza kuwazuia Alshabab kujipenyeza, kama hayo unayosema ni kweli, iweje Alshabab wanaingia na kuuwa wanafunzi katika chuo kikuu na kuweza kurudi Somalia bila kudhibitiwa?.
Lengo la kuweka kambi za jeshi katika mpaka, sio kuonyesha kwamba kuna wanajeshi wapo mkani, ila ni kudhibiti wahalifu kuingia na kutoka kwa urahisi.
Ila ninajua unazungumza ili kujitetea, lakini kiukweli hakuna ulinzi wowote wa maana zaidi ya hao polisi wanaokwenda kufanya patrol nyakati za mchana, na kurudi mjini usiku. Kumbuka lile shambulio la chuo kikuu kule Garisa, lilidumu kwa zaidi ya masaa matatu hadi kulipokucha ndio usadizi ukatoka Mombasa na Nairobi, kama kungekuwepo na kambi ya jeshi, kwanini wasingekuwa wa kwanza kufikia?, na kama Alshabab wangejua kuna kambi ya jeshi jirani, kamwe wasengeweza kwenda kufanya shambulizi na kuondoka, labda wangepeleka suiciders
Sgr na lamu port huaga zinakuumiza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]vipi stesheni ya ghorofa 20 hapo darGreen field terminal ni long term?. Mlitangazia dunia kwamba ni "Project" muhimu sana kwa sasa na itabadilisha uchumi wa nchi, mkatenga pesa na mradi ukafunguliwa kwa bashasha na vigelegele pale JKIA mbele ya mabalozi wa nchi Mbalimbali, Uhuru Kenyatta alitoa hotuba nzuri sana kuekeza umuhimu wa huo mradi kwa sasa, mradi ukaanza kujengwa, kama ilivyokua kwa Galana Kulalu, SGR, na Lamu port, kumbe hamkufanya maandalizi yoyote, wakati mradi unaendelea kujengwa, pesa ikaisha, ghafla Uhuru Kenyatta akabadilisha kauli, akasema huo mradi sio muhimu kwasasa, hayo ndio maamuzi ya viongozi wenu, hovyo kabisa.
Umemsahau yule mtanzania wenu aliyejisalimisha baada ya kuona wenzake wanfunguliwa vivhwa baada ye recce squad kuwasiliNaomba katika hili tuthibitishe hoja zetu, Mimi nitakuletea ushahidi wenyekyonyesha kwamba washambuliaji waliweza kushambulia kwa zaidi ya masaa matatu na kurudi Somalia bila kukamatwa, na wewe lete ushahidi kwamba walikamatwa siku hiyo ya tukio.