Kenya: Alshabab yaua POLISI 7 wa Kenya, mmoja hajulikani alipo

Kenya: Alshabab yaua POLISI 7 wa Kenya, mmoja hajulikani alipo

Naomba katika hili tuthibitishe hoja zetu, Mimi nitakuletea ushahidi wenyekyonyesha kwamba washambuliaji waliweza kushambulia kwa zaidi ya masaa matatu na kurudi Somalia bila kukamatwa, na wewe lete ushahidi kwamba walikamatwa siku hiyo ya tukio.
1129785
1129786
 
Siku walete ujinga huku Tz watabebwa wote wakatupwe huko kwao, nyinyi si mmezaa nayo hayo majitu yanajichanganya nanyi na kupiga tukio.
 
Jamaa anapingana na sisi kuhusu Al Shabab tactics anadhani Mtanzania kama yeye anaweza fahamu mambo mengi kuhusu Shabab kushinda Wakenya. I don't see how a Tanzanian can purport to be teaching Kenyans on how to fight Shabab and yet they have never dealt with even a single Shabab attack.
Hii ndio sababu kubwa ya Kenya kushambuliwa Mara kwa Mara, wakati Ethiopia na Uganda wamefanikiwa kudhibiti mashambulizi ndani ya nchi zao. Kenya vyombo vyenu vya usalama ni dhahifu sana.
 
Akili zako wewe ni kama akili za kuku, siwezi kuendeleza mjadala na wewe, Mimi ninajadiliana na Tony 254. Wewe tafuta watoto wenzako, kama unataka kujadiliana na Mimi jibu maswali
1) Thibitisha kwamba hiyo picha ni Kenya, na huyo ni mwanaheshi wa KDF
2) Thibitisha huyo aliyeuliwa ni M wanajeshi wa Alshabab aliuliwa katika shambulio la Garisa University

Acha kuleta ushabiki wa kijinga unatupitezea muda
 
You must be really dumb !...reverse search the image on Google.
 
Akili zako wewe ni kama akili za kuku, siwezi kuendeleza mjadala na wewe, Mimi ninajadiliana na Tony 254. Wewe tafuta watoto wenzako, kama unataka kujadiliana na Mimi jibu maswali
1) Thibitisha kwamba hiyo picha ni Kenya, na huyo ni mwanaheshi wa KDF
2) Thibitisha huyo aliyeuliwa ni M wanajeshi wa Alshabab aliuliwa katika shambulio la Garisa University

Acha kuleta ushabiki wa kijinga unatupitezea muda
Ukishindwa kutetea hoja yako unaanzanga matusi ..haha
Nakumbuka kwa ule uzi mwingine ulikuwa unabisha kuhusu AK 47 huku ukilia na kuniambia nikupe evidence nikakupa evidence ukapotea.
 
Sio kweli kwamba washambulizi wa chuo kikuu walishambulia na kurudi Somalia. Hao watu wanne au watano vichwa vyao vilipasuliwa na hata miili yao kuwekwa nyuma ya pickup na kuzungushwa Garissa town ili iwe funzo kwa mashetani wengine. Nakumbuka nikisoma hio article.
Tony254, hapa rais Uhuru Kenyatta anatoa ahadi ya kuwasaka na kulipiza kisasi kwa wanajeshi wanne wa kiislamu waliohusika katika kuwapiga risasi na kuwauwa zaidi ya wanafunsi 150 wa Garisa University.

Vipi rais anasema atawasaka wote waliowapiga risasi wanafunzi, tena akataja walikua wanne kama waliouliwa wote?.
 
Umesahau Army wenu waliuliwa na panga na watu wa kawaida wa DRC???... Wacha kujifanya activist wa watu wa Kenya wachana na sisi tupambane na Hali yetu... Mmekula na Amani tangu independence na uchumi wenu hata haupiti wa nchi ndogo kama Ghana.

Hivi Yale magari yaliyonunuliwa kwa wingi ili kuwakinga POLISI wa Kenya dhidi ya haya maharamia yapo wapi?,. Kenya mtatumia mbinu gani kupunguza mashambulizi ya namna hii kwasababu yanazidi kuongezeka. R.I.P.
 
Sgr na lamu port huaga zinakuumiza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]vipi stesheni ya ghorofa 20 hapo dar
joto la jiwe huumia Sana akisikia na kuona picha za Lamu Port Tena kwa Sasa vile Bagamoyo Port imekuwa cancelled...kijana anasikia kuinyo ga Kenya, anaomba Al shababe wafanye kweli pale Lamu ndoto lake litimie.
 
Terrorism ni a world wide issue Ata France, USA, New Zealand Wana mashida ya terrorism haimanishi kua Army ya Tanzania ni ya nguvu kushinda ya France kwa sababu terrorism ni rare Tz na ni common France
Tony254, hapa rais Uhuru Kenyatta anatoa ahadi ya kuwasaka na kulipiza kisasi kwa wanajeshi wanne wa kiislamu waliohusika katika kuwapiga risasi na kuwauwa zaidi ya wanafunsi 150 wa Garisa University.

Vipi rais anasema atawasaka wote waliowapiga risasi wanafunzi, tena akataja walikua wanne kama waliouliwa wote?.
 
joto la jiwe huumia Sana akisikia na kuona picha za Lamu Port Tena kwa Sasa vile Bagamoyo Port imekuwa cancelled...kijana anasikia kuinyo ga Kenya, anaomba Al shababe wafanye kweli pale Lamu ndoto lake litimie.
Huyo huaga ana mafeelings na miradi ya kenya...anaomba sana idondokee pua...lkn tatizo uchawi hauvuki boader
 
Tony254, hapa rais Uhuru Kenyatta anatoa ahadi ya kuwasaka na kulipiza kisasi kwa wanajeshi wanne wa kiislamu waliohusika katika kuwapiga risasi na kuwauwa zaidi ya wanafunsi 150 wa Garisa University.

Vipi rais anasema atawasaka wote waliowapiga risasi wanafunzi, tena akataja walikua wanne kama waliouliwa wote?.
Nakuja na evidence sasa hivi.
 
Huyo huaga ana mafeelings na miradi ya kenya...anaomba sana idondokee pua...lkn tatizo uchawi hauvuki boader
Huu uzi ni wa kujifariji, hapa huwezi kumuondoa hadi apate habari zingine za huzuni kuhusu Kenya. Ila Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Ukishindwa kutetea hoja yako unaanzanga matusi ..haha
Nakumbuka kwa ule uzi mwingine ulikuwa unabisha kuhusu AK 47 huku ukilia na kuniambia nikupe evidence nikakupa evidence ukapotea.
You are very knowledgeable in this area and that gives you an advantage that makes some of them very angry at you. Nobody wants to argue with a knowledgeable person.
 
Naomba katika hili tuthibitishe hoja zetu, Mimi nitakuletea ushahidi wenyekyonyesha kwamba washambuliaji waliweza kushambulia kwa zaidi ya masaa matatu na kurudi Somalia bila kukamatwa, na wewe lete ushahidi kwamba walikamatwa siku hiyo ya tukio.
Nataka usome hii article polepole, nimeweka mpaka link ukitaka uifuate hadi huko na usipo tosheka uniambie nikuletee articles zingine na nitakuletea.

Garissa dead terrorists paraded for locals to identify
April 4, 2015 4:06 pm
  • 0SHARES
  • 0
  • 0
  • 0
By AGENCE FRANCE PRESSE,
Some threw stones at the bodies as they passed, others jeered and shouted at the dead. Photo/CFM.Some threw stones at the bodies as they passed, others jeered and shouted at the dead. Photo/CFM.NAIROBI, Kenya Apr 4 – Kenyan police on Saturday paraded the four bloated and naked bodies of what they said were the gunmen in a university massacre of almost 150 people, saying the grim display was held to see if anyone could identify the assailants.

Hundreds, including children, took to the streets to see the corpses, which were piled on top of each other face down in the back of a pick up truck, that drove down the main street in the northeastern town of Garissa.

ADVERTISEMENT

Some threw stones at the bodies as they passed, others jeered and shouted at the dead.
The pickup drove for almost half a kilometre (0.3 mile) from the hospital before stopping near a children’s playground, chased by young men. Hundreds more came to join the crowd despite the foul stench from the charred bodies, now swollen two days after they were killed.
“The intention was not a parade, but rather for public identification so that if anyone can recognise them whether they are a relative or someone who knows them,” local police chief Benjamin Ong’ombe said, adding the bodies were then returned to the hospital for storage.
“Too many people turned out, so we had to return them,” he added.
As well as the four gunmen killed, five men have also been arrested in connection with the university massacre by Somalia’s Al-Qaeda-linked Al Shabaab militants.
Thursday’s attack on Garissa University, situated near the border with Somalia, claimed 148 lives, including 142 students, three police officers and three soldiers.
Many in the crowds took photographs with their phones of the bodies, but many said they were disgusted at the parade.
“Bringing the bodies of the deceased, whether terrorist or others, and then running them naked in the streets, will only incite terrorists to act with more hatred in another attack,” said Abdi Hussein, a local elder. “It is against humanity to parade naked bodies.”
The massacre was Kenya’s deadliest attack since the 1998 bombing of the US embassy in Nairobi, and the bloodiest ever assault by the Al Shabaab militants.
“Driving around on the streets in broad daylight in a country which upholds human dignity is embarrassing,” said Ahmed Yusuf, a student at another local college.
“Instead of driving bodies around the streets now, the security forces should had pro-actively gone out to stop them from killing students,” he added.
Sh20 million bounty has been offered for alleged Al Shabaab commander Mohamed Mohamud, a former Kenyan teacher believed to now be in Somalia and said to be the mastermind behind the Garissa attack.
 
You are very knowledgeable in this area and that gives you an advantage that makes some of them very angry at you. Nobody wants to argue with a knowledgeable person.
Huyo jamaa ata ukimpa evidence ata change goal post.
 
You are very knowledgeable in this area and that gives you an advantage that makes some of them very angry at you. Nobody wants to argue with a knowledgeable person.
Hahahahaha, kwahiyo tunapopenda kujadiliana na wewe ni kwasababu wewe hauko knowledgeable?. Tafadhali ninaomba nikuombe msamaha kwa niaba yako, usirudie tena kujidhalilisha na kujishusha mbele ya watu wajinga kama huyo.
 
Back
Top Bottom