Kwenye hoja zake sijaona miradi mikubwa ifuatayo
Ujenzi wa bandari Dar zaidi ya trillion 1
Ujenzi wa bandari Tanga, Mtwara, Tanganyika, Victoria, Nyasa zaidi ya billion 600
Ujenzi wa miradi ya maji nchi nzima ukiwemo mradi mkubwa wa kutoka Victoria mpaka Tabora zaidi ya trillion 2
Miradi ya DMDP zaidi ya billion 600
Ubungo interchange zaidi ya billion 200
BRT Mbagala zaidi ya billion 100
Salender Bridge zaidi ya billion 270
Ujenzi wa Kigongo Busisi zaidi ya billion 500
Ujenzi wa barabara kwa mikopo zaidi ya trillion 3
Hapo sijasema SGR lot 2 na miradi mingine ambayo Magufuli hajasema kwamba tunatumia pesa za ndani.