Kenya and Burundi debt to GDP ratios projected to exceed 60%

 
Mkuu unamjibu vizuri sana but kwa sababu wako kishabiki na kimuhemuko zaidi hawawezi kukuelewa.
 
Ulikua na cheti fake?

Waulize maelfu ya wastaafu walioko kwenye foleni kila siku pale NSSF kama walikua na vyeti feki.

Serikali inashindwz kuwalipa wastaafu waliostaafu kwa heshima kwny utumishi wa umma,hao feki itapata wapi hela za kuwalipa wkt yenyewe ina hali mbaya?

Hakuna pesa wala nini,keleleeee nyingi.
 
Serikali saivi lazima ifanye due diligence sababu ya walichokiona kwenye ghost workers zaidi ya 12k
 
Serikali saivi lazima ifanye due diligence sababu ya walichokiona kwenye ghost workers zaidi ya 12k

Due diligence kwenye mafao yetu lkn kwenye mafao yao,wake zao na ndg zao hua ni fasta tu wameshawekewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…