Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Acha unazi usio na maana: jeshi linapimwa kwa vifaa, training na mazingira wanayoishi wanajeshi. Utakuta kuna uhusiano mkubwa kati ya nguvu za jeshi na uchumi wa nchi- angalau katika mifano michache ya udikteta ambapo kiongozi yuko radhi nchi nzima ife njaa ili jeshi tu lipate kila kitu (kama ilivyokuwa Ethiopia ya Mengistu).

Ukweli : kwa vifaa jeshi la Kenya lina vifaa vya kisasa na mbali mbali zaidi ya jeshi lako (Mna ndege ngapi ya Mig 17 siku hizi?) Maisha ya wanajeshi? Hapa napenda maoni zaidi ya wana JF. Unless wasema kama vita ikizuka uko tayari kupigana kwa uta!

Hata Idi Amin alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania lkn matokeo unayafahamu. Halafu hii thread iondolewe maana mjadala unaoelekea kulinganisha jeshi la kenya na Tanzania ni matusi kwa Tanzania. Haiwezekani JWTZ ilinganishwe na jeshi ambalo linasumbuliwa hata na mungiki. Kwa taarifa tu ni kuwa kwa tabia za wakenya zilivyo kama jeshi lao lingekuwa na uwezo wa kiwango hata cha Uganda wangeanzisha vita dhidi ya Tanzania ili kupokonya Mlima kilimanjaro, lkn sasa wanaogopa kupigwa maana wanajua tofauti kati ya JWTZ na jeshi lao.
So what?wivu.. ni kweli jeshi la kenya lina vifaa vizuri sana.. bajeti yao katika jeshi huwezi kulinganisha na yetu!

Jeshi la Kenya pia ni Professional na la muhimu zaidi depoliticized.

wivu.. ni kweli jeshi la kenya lina vifaa vizuri sana.. bajeti yao katika jeshi huwezi kulinganisha na yetu!

Wewe ni kishoka nini! kama jeshi la kenya lingekuwa depoliticized kibaki angekuwa rais kipindi hiki?
wivu.. ni kweli jeshi la kenya lina vifaa vizuri sana.. bajeti yao katika jeshi huwezi kulinganisha na yetu!
Acha unazi usio na maana: jeshi linapimwa kwa vifaa, training na mazingira wanayoishi wanajeshi. Utakuta kuna uhusiano mkubwa kati ya nguvu za jeshi na uchumi wa nchi- angalau katika mifano michache ya udikteta ambapo kiongozi yuko radhi nchi nzima ife njaa ili jeshi tu lipate kila kitu (kama ilivyokuwa Ethiopia ya Mengistu).
Ukweli : kwa vifaa jeshi la Kenya lina vifaa vya kisasa na mbali mbali zaidi ya jeshi lako (Mna ndege ngapi ya Mig 17 siku hizi?) Maisha ya wanajeshi? Hapa napenda maoni zaidi ya wana JF. Unless wasema kama vita ikizuka uko tayari kupigana kwa uta!

Kaka give credit where credit is due.Kibaki amepata urais kutoka upinzani baada ya kumshinda baba Moi,Jeshi hawamwekea kauzibe. Hata uchaguzi uliopita jeshi kwa kiwango kikubwa walikuwa neutral,Polisi ndio walotumiwa kutuliza vurugu hata kupelekea mkuu wa jeshi la polisi kufishwa the Hague kujibu tuhuma za uvunjifu wa haki za binadamu. Hapa, wakuu wetu wapo on record kwa kusema hawawezi kutambua ushindi wa upinzani iwapo watashinda. Mambo ya ajabu kweli enzi za multi party politics.