Kumbe hizo ndio victory memory za kdf ?
Jw waliiteka miji yote ya uganda na mpaka sasa JW ndio pekee africa ambalo liliteka mji mkuu wa nchi nyingine
ha ha you over-rate yourself so much, you have been brainwashed by the CCM govt that you think Tanzania is the greatest nation on earth.Wasikusumbue kaka.
Kenya hakuna jeshi.
Hawana jeshi hawa washukuru tu sisi si wakorofi korofi la sivyo wangenyonyoka.
Btw hata kule comoros haikuwa operation ya JTWZ.
Belligerents African Union
Supported by:
France (logistical support)[1] Libyan Arab Jamahiriya (logistical support) United States[2]
Sawa! Ni ujinga uliopitiliza kujiingiza ktk vita bila kuwa na intelejensia ya kutosha kuhusu hivyo vita. Mlichofanya Kenya na kujiingiza Somalia ni kwa sababu ya kutokuwa ujuzi/uzoefu wa vita, mlitakiwa muombe consultation kutoka TPDF.you spoke about TPDF until you showed your ignorance in the last sentence.. that shows you don't understand the situation in Somalia... TPDF has never fought this type of asymmetrical warfare.
So did TPDF completely defeat m23 rebels ???
Some of those successes of TPDF are just 5 day operations , in the same case, KDF would have withdrawn after defeating Al-Shabab in Kismayu and many other towns in Somali and claim victory.
Hiyo ndiyo style ya TPDF. KDF is in Somalia for a long term plan. Creating a buffer zone for Kenya.
Sometimes its good to understand what you are talking about..
Dah, mkuu, wikipedia nayo ni source? Mbona hata wewe unaweza kubandika chochote tu kule wikipedia?Shifta War
Crashing of the Sabaot Land defense force
Capture of Tabda Somali
Capture of Kismayu Port
Capture of Kuday
Capture of Bilis Qoqani
Capture of Jilib
Capture of Dhobley.
Capture of Afmadow
Capture of Ras-Kamboni
By the way these are capture, occupation and control..
Not these victories you talk about TPDF, you run into the scene, fire some bullets and declare victory.
huyo akili hana ni chizi,,hebu muulize hivyo vita vilivyopigwa siku moja vilitokea mwaka gani lini na ni wapi...atabaki anatumbua machoAsa unataka ubaki ilhali mission imeisha ?
Unakwama wap bro?
watabaki kutumbua macho tu....nakuishia kuamua kucopy link zidizo na directionKuna swali hapa kila siku wakenya wanaulizwa hawataki kujibu zaidi ya kulikwepa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watuambie ni misheni gani kdf aka waiba biscuits wauza mkaa wamewahi kuifanikisha ipasavyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchokoraa siyo poa....Shifta War
Crashing of the Sabaot Land defense force
Capture of Tabda Somali
Capture of Kismayu Port
Capture of Kuday
Capture of Bilis Qoqani
Capture of Jilib
Capture of Dhobley.
Capture of Afmadow
Capture of Ras-Kamboni
By the way these are capture, occupation and control..
Not these victories you talk about TPDF, you run into the scene, fire some bullets and declare victory.
Can you mention few successful operations conducted by your ass army?ha ha ha ... war is not fought with teeth and muscles ...rather capability..
Our military is better trained and has more capability on operations , logistics and weapons
duuh aisee kenya ni noma cheki makombora hayoo dah aisee nyie wakenya ni nomaa duuh dunia nzima mnachapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha ha don't come for numbers, hapo TPDF mko nyuma zaidi...
Ilitolewa after four days!! Nyinyi gari moja imekaa 10 days!!ile meli iliyozama huko kwenye lake mliipata hadi leo???
muuulize Tanzania ni nchi ya ngapi Duniani kuwa na wanausalama wa Taifa...?...akijibu vyema tutampa zawadi na atajua vile watu huishi vipi na akili zenye plan na si akili maliHaha kenyan na Low IQ ni kama pete na kidole,
Kdf tunawapa jeshi la Mgambo tu mnanyoroshwa sawa sawa,
Tena wanakuja na biscuits alafu wanawadanganyia jeshi lenu dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jeshi letu lingekuwa weak nchi yetu ingekuwa na vikundi vya ajabu ajabu vya kipumbavu kama huko kwenu,
Jeshi la Tanzania halijawahi kufeli misheni yoyote waliyopewa,
Jeshi lenu pia lina ukabila ndani yake wa kutisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Jeshi lenu show off kibao tu kwa ground vitu ni different.
Kazi yao ni kujidanganya area za kibera.watabaki kutumbua macho tu....nakuishia kuamua kucopy link zidizo na direction
swali zuri sana kunguni wakikenya wakiulizwa maswali yenye tija huwa hawana majibu sababu hawana cha ajabu wao nikucopy link and paste kwenye mitandao kisha kuleta hapa wanadani bita ni history za link[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa! Ni ujinga uliopitiliza kujiingiza ktk vita bila kuwa na intelejensia ya kutosha kuhusu hivyo vita. Mlichofanya Kenya na kujiingiza Somalia ni kwa sababu ya kutokuwa ujuzi/uzoefu wa vita, mlitakiwa muombe consultation kutoka TPDF.
Tanzania ilikuwa iingie vitani dhidi ya Idd Amin mwaka 1974, lkn intelejensia yetu ilifanya kazi na tukaamua kutoingia vitani ili tujipange. Ndio maana sio ajabu TPDF kushinda vita vyote ilivyopigana; Uganda, Mozambique, Seychelles, Comoro hata Congo DR. Kenya mmejaribu vita moja tu huko Somalia lkn hadi sasa ushindi haijapata. Ni kujitoa ufahamu kuilinganisha kwa namna yoyote ile KDF kwa TPDF. TPDF imetoa mafunzo kwa majeshi ya DR Congo, Uganda, Mozambique, na Zimbabwe. Je, KDF imetoa mafunzo nchi gani?
Vv
Sawa! Ni ujinga uliopitiliza kujiingiza ktk vita bila kuwa na intelejensia ya kutosha kuhusu hivyo vita. Mlichofanya Kenya na kujiingiza Somalia ni kwa sababu ya kutokuwa ujuzi/uzoefu wa vita, mlitakiwa muombe consultation kutoka TPDF.
Tanzania ilikuwa iingie vitani dhidi ya Idd Amin mwaka 1974, lkn intelejensia yetu ilifanya kazi na tukaamua kutoingia vitani ili tujipange. Ndio maana sio ajabu TPDF kushinda vita vyote ilivyopigana; Uganda, Mozambique, Seychelles, Comoro hata Congo DR. Kenya mmejaribu vita moja tu huko Somalia lkn hadi sasa ushindi haijapata. Ni kujitoa ufahamu kuilinganisha kwa namna yoyote ile KDF kwa TPDF. TPDF imetoa mafunzo kwa majeshi ya DR Congo, Uganda, Mozambique, na Zimbabwe. Je, KDF imetoa mafunzo nchi gani?
Vv
Dah, mkuu, wikipedia nayo ni source? Mbona hata wewe unaweza kubandika chochote tu kule wikipedia?
Vv