Kenya Army VS Tanzania Army

Khaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafuta kazi ufanye jf hutoiweza
Usinifananishe na majobless wenzio najua imepenya hiyo..hakuna unachonizidi i hope so kuanzia pesa,elimu,mali na hata umaarufu..kama unataka ajira nje ya nchi yako nitafute nikupe ajira nchi ya maziwa na asali acha kushinda kibera huko wanaonifahamu wanajua mimi ni nani endelea na upumbavu wako tu...
 
hawawezi kuelewa hao wakenya ni machizi ...hawajui masuala ya kivita na kijeshi kwa ujumla
 
Huku hupawezi...endelea na mipasho jomba
 
Huku hupawezi...endelea na mipasho jomba
Sio kila kitu lazima ujue..sindano ikikuuma unaruhusiwa kukimbia uzi kama wenzio wanavyofanya sio lazima kujibizana tuna mambo mengi ya kufanya..unapewa picha kuprove ubora wa Jwtz wanaume unabwabwaja tu
 
KDF wafananishwe na jeshi la mgambo Tz
 
Sina mda huo...mipasho peleka katika majukwaa ya tanzania hko
Sio kila kitu lazima ujue..sindano ikikuuma unaruhusiwa kukimbia uzi kama wenzio wanavyofanya sio lazima kujibizana tuna mambo mengi ya kufanya..unapewa picha kuprove ubora wa Jwtz wanaume unabwabwaja tu
 
Duh we jamaa!!
USA hawana ubavu wa ground wale wanaweza vta za makombora.
Rejelea vita ya N.korea na S.korea China ikiisapoti N.korea US ikiisapoti S.korea uliza US na mwenzake kiliwapata nn.
Rejelea vta ya US na Vietgong(Vietnam).
USA hana lolote.
 
USA hyo tumeshaachana nayo...
Umesema magaidi wanaweza jisweka km wakimbizi..
Sasa mbna wakiingia kenya mnawalaumu wakenya, mara hoo tokeni somalia sijui jeshi lenu bovu...

Nyinyi ni bure kabisa

Juzi tu makamanda wetu walipasua waru vichwa pale dusit..njoo na wewe ujaribu, manake watanzania mnaipenda sana alshababu..

Buda hujapata connection na wewe ukajiswike ndani
Hivi wale waliokuwa wanaiba mikate na juice kwenye lile tukio la Westgate bado wapo kwenye "special force?
 
Wakenya ni kama mamba, zaidi ya hiyo midomo hamna cha zaidi
Juzi tu makamanda wetu walipasua waru vichwa pale dusit..njoo na wewe ujaribu, manake watanzania mnaipenda sana alshababu..

Buda hujapata connection na wewe ukajiswike ndani
 
Watu wa midomo ni nynyi...
Mnajisifu na wakati mmeshindwa kuwakamata watanzania ambao wanaingia alshabab...
Watu huingia somalia na kurudi tanzania lkn mpo mpo..mpka intelligence ya kenya ndio huwakamata
Wakenya ni kama mamba, zaidi ya hiyo midomo hamna cha zaidi
 
Bro ingekua hiyo mission kapewa JWTZ na akakubali kuingia hao wasomali wangejuta wangetaabika.
Maana km m23 walisumbua wakatusumbua kwa kiasi ila kibano walichokuja kipata hawatasahau.
Bahati nzuri au mbaya hatupo kwa hiyo mission.
USA hyo tumeshaachana nayo...
Umesema magaidi wanaweza jisweka km wakimbizi..
Sasa mbna wakiingia kenya mnawalaumu wakenya, mara hoo tokeni somalia sijui jeshi lenu bovu...

Nyinyi ni bure kabisa
 
ha ha ha ... war is not fought with teeth and muscles ...rather capability..
Our military is better trained and has more capability on operations , logistics and weapons
Nyie kama mko vizuri hamuhitaji kuja hapa kujidai nendeni mkamalizane na Alshabab kwanza halafu rudi hapa mjisifie, bila hivyo huna cha kufananisha kati ya KDF na TPDF hivi ni vitu viwili tofauti, TPDF haihitaji porojo za mitandaoni ipo kazini.
Sisi sio Wa makidai ya kishamba kama nyie Kunya boys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…