Kenya Army VS Tanzania Army

Nimegundua naongea na under 40. Nakuuliza, unamfahamu rais wa pili wa Uganda? BTW niambie hata collabo ambayo KDF wamewahi kushinda.

Vv

Vv
 
Duh kumbe hadi Lebanon tulishiriki ??
 
Mbna mozambique mlikimbia mbio mbio..au ni sifa ndio mnataka, manake mnapenda sana kupewa sifa
 
Sasasa mzee wa miaka 100...hatufanyagi collabo sisi hku..
1.Tulismbaratisha shifta
2.tukanyakua kismayu
Niendeleee
Nimegundua naongea na under 40. Nakuuliza, unamfahamu rais wa pili wa Uganda? BTW niambie hata collabo ambayo KDF wamewahi kushinda.

Vv

Vv
 
Mbna mozambique mlikimbia mbio mbio..au ni sifa ndio mnataka, manake mnapenda sana kupewa sifa
TPDF ilimaliza vita, Dlakama alilazimika kusaini mkataba wa amani na FRELIMO na kumaliza vita. RENAMO pamoja na kupata msaada mkubwa wa makaburu bado alishindwa kuidhoofisha FRELIMO kutokana na msaada mkubwa wa TPDF. Kama sio TPDF, Mozambique ingekuwa chini ya RENAMO, makaburu walishindwa kupindua FRELIMO kutokana na back up ya TPDF. Kwa taarifa yako tu, TPDF waliondoka Mozambique miaka ya mwanzo kabisa ya 1990 baada ya RENAMO na FRELIMO kusaini mkataba wa amani. RENAMO walilazimika kuingia mktaba baada ya utawala wa makaburu kukoma huko Afrika Kusini.

Vv
 
Sasasa mzee wa miaka 100...hatufanyagi collabo sisi hku..
1.Tulismbaratisha shifta
2.tukanyakua kismayu
Niendeleee
Hivi vita mliyoingia ilikuwa ni kuikomboa Kismayo au kuisaidia Serikali ya Somalia na kuwasambaratisha Alshabaab? Mbona bado Alshabaab wanaingia Kismayo hadi wanatokea Garisa? Kama kweli KDF wangekuwa na ubavu project ya ukuta wa 700kms kwenye mpaka wa Kenya na Somalia ni wa nini? Why spend billions of shillings just for a wall if you have won the war against Alshabaab?

Vv

Vv
 
Jeshi la ubakaji la Tanzania😂😂😂😂 Ngono tu ndio mnaelewa siku hizi afu hizo Nchi Ni zile hazijiwezi sijui komoro na visiwa vingine vidogo vidogo Tena kwa usaidizi wa Nchi zingine, hamna Vita JWTZ/JUTZ(Jeshi la ubakaji la Tanzagiza) ishapigana peke yake na Kama unapinga let ushahidi...bure kabisa
 
Tanzania hapa info za jeshi ni siri....sio kama nyie, unaweza ukakuta hamfiki hata robo. Wekeni tu zenu hewani.
 
Kuhusu huo ubakaji nilikuomba ulete vivid news ukashindwa unabwabwaja.
TPDF imeongoza brigade ya mapambano na kushinda inamaana ukiwa na TPDF upo na jeshi imara.
Na kwann wawape mamlaka TPDF waongoze brigade km wao sio imara na werevu??
Mbona mropokaji mwasiti?
 
Wewe unaamini Alshabab ni jeshi kubwa lenye uwezo mkubwa ktk Pembe ya Afrika!

Vv
 
Yawezekana hujui kuwa Somalia kuna majeshi ya Uganda, Burundi na Kenya! Hata hivyo, KDF ndio imerambishwa sakafu mara nyingi zaidi na Alshabab. Alshabaab walifanikiwa kuingia University ya Garissa na kushambulia kwa masaa kadhaa na kuua wanafunzi wengi wakati KDF na vikosi vya usalama wakichikua muda mrefu kuji-mobilize. Kama kwamba haitoshi, shambulio la Alshabaab hotelini Nairobi mwaka huu, ilibidi vikosi vya Uingereza visaidie kuokoa jahazi. Tanzania TPDF tosha, hawahitaji msaada wa mamluki.

Vv
 
Nilikuambia ushahidi...Jeshi lenu Ni la ki-rebel outfit hivi.
 
Mbona hueleweki unaloongea??
Ebu ongea ueleweke km Kuhusu ushahidi ushapewa sana ila ushahidi wako ww sijui unatoleaga wapi?
Nilikuambia ushahidi...Jeshi lenu Ni la ki-rebel outfit hivi.
 



kdf Huey's delivering civilian supplies along the kenya-somalia border region . harbin z9 attack heli hidden in background.
 
kdf troops giving a wildebeest water during a deadly drought.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…