Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).
 
View attachment 1245725
Hata kdf Wana historian yao .
Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).
 
'We Tanzanians can't disclose our army info lakini mtuchokoze muone nyie vibaraka was mabeberu'
jamaaa ameandika upupu hadi nimeacha kumaliza uzi wake,ni ujinga kudhati formation ya jeshi hupelekea ufanisi
hajui wakati mwingine miundo complex kama yao hupelekea udhaifu, jamaa sidhani kama hata anajua TPDF wana kambi kila mkoa ambazo ukizijumlisha kwa pamoja ni Jeshi kubwa kuliko analolinganisha nalo
 
Watajua hawajui hata kwenye vita vya kagera idi amin Uganda waliokuwa wanavifaa vya kisasa kuzidi sisi na kichapo bado akachezea at the same time ghaddafi libya waliokuwa wanamsaidia kwanzia wanajeshi hadi silaha. Embu pelekeni shombo zenu Somalia maana nadhani hata m7 UPDF wanauwezo wa kuwatandika. You are weak that's why you talk too much n fronting like bitches
 
Nakumbuka hata mambo ya west-gate 2013,kwa yeyote aliyebahatika kuiona ile clip mwanzo mwisho hebu atujuze hivi lile ni jeshi au kikosi cha wanamgambo.
 
Nakumbuka hata mambo ya west-gate 2013,kwa yeyote aliyebahatika kuiona ile clip mwanzo mwisho hebu atujuze hivi lile ni jeshi au kikosi cha wanamgambo.
ndiyo jeshi lao lile,,,,,,

yaani ni vituko
 
Huyu askari wa Uingereza ndie aliokoa jahazi pale Westgate. Alshabaab wangewadhalilisha KDF, wangeweza hata kuwachukua mateka kabisa
 
The only thing KDF can do is looting biscuits and smugling charcoal in Kismayu, and probably hiding in grass to protect themselves against the Mujahedeen attack, never seen such cowardice
 
The only thing KDF can do is looting biscuits and smugling charcoal in Kismayu, and probably hiding in grass to protect themselves against the Mujahedeen attack, never seen such cowardice
The fact that you can glorify terrorism knowingly or unknowingly just shows the kind of a person you are,sick and pathetic,gosh! what's wrong with you people! mujahideen you say,do you know what terrorism is in the real world and what it does to people?
 
Yeah,we know them lad,n we fuc**k dem at Kibiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…