BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Wacha hiyo. Matusi ya nini?KDF wanauliwa hadi kufirw na mujahedeen,mjeshi gani anafirw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha hiyo. Matusi ya nini?KDF wanauliwa hadi kufirw na mujahedeen,mjeshi gani anafirw
ni maningwa wa kiescape na kitupa weaponHawa hata uwafunze kwa miaka 10 bado watakimbia!
Umezaliwa mwaka gani?ha ha ha ... war is not fought with teeth and muscles ...rather capability..
Our military is better trained and has more capability on operations , logistics and weapons
Sio matusi ni ukweliWacha hiyo. Matusi ya nini?
Hujielewi kila siku alshabab wanaingia Kenya na kuua watuKDF kiboko isay. Wanaweza kuiteka Somalia kwa siku mbili tu. Sio kama Tanzania, awana chochote sio kama KDF.
Ndivyo mnavyodanganywa na sisiemu? 😂 😂 😂Hujielewi kila siku alshabab wanaingia Kenya na kuua watu
Comment sio maneno ya shombo. Shida sio askari. Na makamanda wao. REC inafanywa kwa mguu, sio magari. Watakuwa kutumia shushu hasa wanao hishi huko au wasomali wa asili. Sio kutumia kingereza kingiiii..... wanaharibuHujielewi kila siku alshabab wanaingia Kenya na kuua watu
Si tunaona wakenya wengi wameuawa na haoNdivyo mnavyodanganywa na sisiemu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.Kenya haina resources za maana kama Tanzania.hamna ardhi kubwa yenye rutuba,hamna ardhi ambayo kila sehemu kuna madini. Kwa hiyo watu hawana sababu ya kuwavamia.
Kwa sababu Kenya haina utajiri wa resource ndo maana hakuvamia.Aliona Tanzania tuna maeneo makubwa.somalia wanajiandaa kuchukua bahari yao.mbona Uganda walichukua migingo you are very weak.Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.
Cc Geza Ulole
Marudia Kenya hamna resources nyingi.hata kumiliki ardhi Kenya ni ngumu.Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.
Cc Geza Ulole
ushahidi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Niliwahi kusikia hii kitu mkuu kumbe ni kweli bwana.
Kenya intelligence yenu ipo chini mno WATU wanapita wastegate hapa bongo wangefyekwa na FFU tuUnajua Kenya Hakuna Inchi imewai jitolea kuweka live war nayo,Wanakuanga tu na Propaganda and throwing Tuntrums Just like Somalia we started preparing for war,Wao kuona hivo wakaita mabeberu wazuie wasifyekwe[emoji91][emoji91]Sasa Nyinyi TZ mnadhani mtatuweza[emoji1139][emoji41]
The island had been claimed by the Ugandan government in 2008-2009 until 11 May 2009 when Ugandan President Yoweri Museveni conceded that the island is in Kenya, but continued to point out that Kenyan fishermen were illegally fishing in Ugandan waters, which lie to the west of Migingo. The Ugandan flag was lowered, Uganda withdrew its military troops, and agreed that all its police officers would leave the island. A joint re-demarcation line of the border was launched on 2 June 2009 to recover and to place survey markers on land, making delineation of the boundary on the lake more precise, with results released in late July 2009 confirming that the island falls 510 metres (1,670 ft) on the Kenyan side of the line.Kwa sababu Kenya haina utajiri wa resource ndo maana hakuvamia.Aliona Tanzania tuna maeneo makubwa.somalia wanajiandaa kuchukua bahari yao.mbona Uganda walichukua migingo you are very weak.
Ngumu kwako ambaye huna hela yakununua. Tulia kijana, ukipata hela kanunue kwenyu kijijini kwanza! 🤣Marudia Kenya hamna resources nyingi.hata kumiliki ardhi Kenya ni ngumu.
Sawa kamanda, na bado ndugu zako wanaogopa mama Samia asivutwe kwenye mgogoro wetu na alshabab? Mwaogopa kufa twajua tayari, kaeni makambini basi! 🤣 🤣 🤣Kenya intelligence yenu ipo chini mno WATU wanapita wastegate hapa bongo wangefyekwa na FFU tu
Hata mimi nangojea ushahidi kutoka kwa pumba! 🤣 🤣 🤣ushahidi mkuu
Au ni wewe walikugeuza bila kilainishiHata mimi nangojea ushahidi kutoka kwa pumba! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
When it comes to military issues Kenya is zero kabisa! U can't compare TPDF with your 'militia' group KDF.Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.
Cc Geza Ulole
Magaidi waliuwa Watanzania kadhaa huko Mtwara. Hata serikali yenu ilikiri kwamba jambo hilo lilifanyika.When it comes to military issues Kenya is zero kabisa! U can't compare TPDF with your 'militia' group KDF.
Just imagine alshabab wanaingia kwa the biggest mall in town wanaishikilia kwa masaa na kufanikiwa ku-escape.
Where was your army when alshabab attacked Westgate?
Where was it when Garrissa was attacked by alshabab 'teens'??
We see in social medias everyday police posts and army camps attacked by alshabab, u know what happens when those so called alshabab tries to attack TZ? We fu#k them!
Few months ago they tried to attack in the South, they advanced from Northern Mozambique to southern parts of Mtwara Tanzania, they were met with 'kichapo heavy'. Hatukusikia tena neno alshabab, wote tukaua na wengine tupo nao kwa cells tunawa torture