Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

ha ha ha ... war is not fought with teeth and muscles ...rather capability..
Our military is better trained and has more capability on operations , logistics and weapons
Umezaliwa mwaka gani?
 
Hujielewi kila siku alshabab wanaingia Kenya na kuua watu
Comment sio maneno ya shombo. Shida sio askari. Na makamanda wao. REC inafanywa kwa mguu, sio magari. Watakuwa kutumia shushu hasa wanao hishi huko au wasomali wa asili. Sio kutumia kingereza kingiiii..... wanaharibu
 
Kenya haina resources za maana kama Tanzania.hamna ardhi kubwa yenye rutuba,hamna ardhi ambayo kila sehemu kuna madini. Kwa hiyo watu hawana sababu ya kuwavamia.
Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.

Cc Geza Ulole
 
Kwa sababu Kenya haina utajiri wa resource ndo maana hakuvamia.Aliona Tanzania tuna maeneo makubwa.somalia wanajiandaa kuchukua bahari yao.mbona Uganda walichukua migingo you are very weak.
 
Marudia Kenya hamna resources nyingi.hata kumiliki ardhi Kenya ni ngumu.
 
Unajua Kenya Hakuna Inchi imewai jitolea kuweka live war nayo,Wanakuanga tu na Propaganda and throwing Tuntrums Just like Somalia we started preparing for war,Wao kuona hivo wakaita mabeberu wazuie wasifyekwe[emoji91][emoji91]Sasa Nyinyi TZ mnadhani mtatuweza[emoji1139][emoji41]
Kenya intelligence yenu ipo chini mno WATU wanapita wastegate hapa bongo wangefyekwa na FFU tu
 
Kwa sababu Kenya haina utajiri wa resource ndo maana hakuvamia.Aliona Tanzania tuna maeneo makubwa.somalia wanajiandaa kuchukua bahari yao.mbona Uganda walichukua migingo you are very weak.
The island had been claimed by the Ugandan government in 2008-2009 until 11 May 2009 when Ugandan President Yoweri Museveni conceded that the island is in Kenya, but continued to point out that Kenyan fishermen were illegally fishing in Ugandan waters, which lie to the west of Migingo. The Ugandan flag was lowered, Uganda withdrew its military troops, and agreed that all its police officers would leave the island. A joint re-demarcation line of the border was launched on 2 June 2009 to recover and to place survey markers on land, making delineation of the boundary on the lake more precise, with results released in late July 2009 confirming that the island falls 510 metres (1,670 ft) on the Kenyan side of the line.
Angekataa aone! 🤣
 
Hahaha. Wacha vijisababu. Wakati Kenya ilipata uhuru Nchi ya Somalia ilianza vurugu na kutaka kunyakua North Eastern province ya Kenya. Kenya ilizima upuuzi huo chap chap. So sio kweli kwamba hakuna mtu anayetaka kutuchokoza. Mbona Ethiopia wamejawa na rebels left right and centre na hakuna rebel group iliyowahi jaribu kuvamia Kenya? Vile vile South Sudan wana wapiganaji wengi sana ila hakuna siku wamewahi kuamua kuvamia Kenya? Hata Uganda in the 1970s and 1980s walikuwa wanapigana sana ila hawakuwahi kurusha kombora upande wa Kenya. Jiulize mbona Nduli Iddi Amin hakuanzisha choko na Kenya akaamua kuanzisha choko na Tanzania. Utapata jibu lako.

Cc Geza Ulole
When it comes to military issues Kenya is zero kabisa! U can't compare TPDF with your 'militia' group KDF.
Just imagine alshabab wanaingia kwa the biggest mall in town wanaishikilia kwa masaa na kufanikiwa ku-escape.
Where was your army when alshabab attacked Westgate?
Where was it when Garrissa was attacked by alshabab 'teens'??
We see in social medias everyday police posts and army camps attacked by alshabab, u know what happens when those so called alshabab tries to attack TZ? We fu#k them!

Few months ago they tried to attack in the South, they advanced from Northern Mozambique to southern parts of Mtwara Tanzania, they were met with 'kichapo heavy'. Hatukusikia tena neno alshabab, wote tukaua na wengine tupo nao kwa cells tunawa torture
 
Magaidi waliuwa Watanzania kadhaa huko Mtwara. Hata serikali yenu ilikiri kwamba jambo hilo lilifanyika.
 
Back
Top Bottom