babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Amekimbia ameenda kufungua uzi mwingine ili ajipooze.Nakugonga mpaka utepete. Mkikaa kwenye Slums mnaanza kudanganyana. This is Tanzania kunya boy
BM-27 Uragan
View attachment 1246059
View attachment 1246062
Tulia nikupige za chemba kisha ulale fofofoWacheni kujiaibisha, hii kitu hata China wenyewe walisema it does not meet their own standards ..ikaonekana ipewe bongolala wajigambe nayo kwenye parades..
View attachment 1246039
Hahahaha!!! Hawa jamaa maneno mengiiii huku hawajui chochote.Amekimbia ameenda kufungua uzi mwingine ili ajipooze.
Bro yani mnakamata watu mnasema mission??hizo mission zenu za kukimbizwa na mapanga ndiyo mission???
Unajua ww jamaa unachekesha.you can deny facts but they remain so , TPDF has won against very weak rivals..
very simple missions.. tell me one mission that TPDF won alone, even the TZ-UG war , you were assisted by Ugandan rebels and many Ugandans who did not want Amin..
Duh 2013 imekua miaka 40 kaka?!low IQ ni wewe, vita mlipigana miaka 40 iliyopita bado mnatumia kujigamba..
hata wakati facts zinaonyesha kuwa mko very weak in equipment, training and skills...
Mimi ninachojua ni kwamba TPDF ina usiri mkubwa, ndo maana hata Officers wake kupiga picha na uniform ni kosa kubwa sana. Usitegemee kupata taarifa sahihi za TPDF kwenye Wikipedia ndugu yangu.
Ndo maana kuna kipindi UN walituhumu TPDF kujihusisha na North Korea Military Tech. ili tu wajielezee but nako hawakufanikiwa
Kdf operates T72 tanks and Vickers let's go head to headHivi kijana unajua jeshi au unapiga kelele tu.
So let start step by step
1. Ground force I mean Head to Head
Start with Tanks
Boss,wajiaibisha na mikebe ya Soviet eraI told you let start
Acha kupiga kelele. Wenzako wanajua. Nimeingia nakuhakikishia utakimbia humu. Nakuonjesha tu.
A-100 MLRS - Tanzania
View attachment 1246026
View attachment 1246031
View attachment 1246034
We have for years operates BM21 MLRs I even posted a video here of Kdf shelling alshabaabs positionsI told you let start
Acha kupiga kelele. Wenzako wanajua. Nimeingia nakuhakikishia utakimbia humu. Nakuonjesha tu.
A-100 MLRS - Tanzania
View attachment 1246026
View attachment 1246031
View attachment 1246034
Hii mikebe imechakaa...saazile dunia mzima yapania kununua S400 bado nyinyi mpo kwa missiles za 1960s?Tulia nikupige za chemba kisha ulale fofofo
SA-3 (S-125 Neva/Pechora) Hizi zikiwekwa juu ya mlima kilimanjaro tutakuwa tunaagiza tu zinashuka Nairobi. Msijaribu hata kujisumbua tutawamaliza asubuhi tu
View attachment 1246074
View attachment 1246079
Majirani wote wanaowazunguka wapo nazo hizo(Tanzania, Uganda and Ethiopia)
Namwambia izi ni mikebe na bado haskiiWe have for years operates BM21 MLRs I even posted a video here of Kdf shelling alshabaabs positionsView attachment 1246093
Kdf operates T72 tanks and Vickers let's go head to head
Pwahahahaha!!! weka sasa za kwenu za kisasa tuone.Namwambia izi ni mikebe na bado haskii
We have specific missiles for antitanks warfare huwa mtu hatumiangi MLRS .Tank zote zinasambaratishwa mara moja na hii kitu toka mbaaaaaaali
Pitia hapa uelewe ninachokuambia. Kenya ni mchumba sana katika ulingo wa mapambano
We don't need short range bro. Sisi tubakufuata hapo hapo Nairobi with thisLet's now compare our short range air defenses
Tanzania operates FB 6A and FN 6A which are mounted on trucks while the radar is carried by a separate vehicles.
Maximum firing altitude is 5.5km to 6km
Speed of projectile is 360m/s
Kenya operates Mistrial system maximum firing altitude is 6km at a speed of 800m/s
What is the maximum range of your Best artillery gunTank zote zinasambaratishwa mara moja na hii kitu toka mbaaaaaaali
Pitia hapa uelewe ninachokuambia. Kenya ni mchumba sana katika ulingo wa mapambano
Is that for air defense ?We don't need short range bro. Sisi tubakufuata hapo hapo Nairobi with this
BM-30 or A-100
View attachment 1246094
View attachment 1246095