Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

Wacheni kujiaibisha, hii kitu hata China wenyewe walisema it does not meet their own standards ..ikaonekana ipewe bongolala wajigambe nayo kwenye parades..

View attachment 1246039
Tulia nikupige za chemba kisha ulale fofofo
SA-3 (S-125 Neva/Pechora) Hizi zikiwekwa juu ya mlima kilimanjaro tutakuwa tunaagiza tu zinashuka Nairobi. Msijaribu hata kujisumbua tutawamaliza asubuhi tu
1572162205815.png

1572162381239.png

Majirani wote wanaowazunguka wapo nazo hizo(Tanzania, Uganda and Ethiopia)
 
hizo mission zenu za kukimbizwa na mapanga ndiyo mission???
Bro yani mnakamata watu mnasema mission??
Nitajie operations mlopewa mkaikamilisha km JWTZ walivyokamilisha kumrejesha kiongozi aliyepinduliwa na jeshi lake huko Seychelles.
 
you can deny facts but they remain so , TPDF has won against very weak rivals..
very simple missions.. tell me one mission that TPDF won alone, even the TZ-UG war , you were assisted by Ugandan rebels and many Ugandans who did not want Amin..
Unajua ww jamaa unachekesha.
Mbona hutaji km Idd Amin alisaidizwa na Gaddafi ambaye alikua ana jeshi kubwa na lenye silaha nzito??
Halafu hakuna weak rivals jombaa tuliopigana nao.Wale ni wajeda waasi sio poa wanaijua bunduki vzuri tu.
 
low IQ ni wewe, vita mlipigana miaka 40 iliyopita bado mnatumia kujigamba..
hata wakati facts zinaonyesha kuwa mko very weak in equipment, training and skills...
Duh 2013 imekua miaka 40 kaka?!
Hamjui tuna vifaa vingapi msidanganywe na hzo comparison.
Nakupa mfano vietnam inajulikana miongoni mwa mataifa yenye jeshi la kawaida ila uliza USA alifanywa nn.
Alipigwa mpk kuinua mikono.
Iran ni nchi inayotambulika kuwa na outdated millitary weapons.
Ila uliza US na washirika wake wanapata tabu gani.
Halafu ukiambiwa Iran inatambulika kuwa na outdated weapons huamini.
Vita ni tactics kijana.
 
Kaka hawalijui hili hawa.
Hao wanadhani kila silaha inayotambulika ya nchi ndio hizo tu wanazo.
Wakachukulie mfano Iran halafu waone.
Mimi ninachojua ni kwamba TPDF ina usiri mkubwa, ndo maana hata Officers wake kupiga picha na uniform ni kosa kubwa sana. Usitegemee kupata taarifa sahihi za TPDF kwenye Wikipedia ndugu yangu.

Ndo maana kuna kipindi UN walituhumu TPDF kujihusisha na North Korea Military Tech. ili tu wajielezee but nako hawakufanikiwa
 
Tulia nikupige za chemba kisha ulale fofofo
SA-3 (S-125 Neva/Pechora) Hizi zikiwekwa juu ya mlima kilimanjaro tutakuwa tunaagiza tu zinashuka Nairobi. Msijaribu hata kujisumbua tutawamaliza asubuhi tu
View attachment 1246074

View attachment 1246079
Majirani wote wanaowazunguka wapo nazo hizo(Tanzania, Uganda and Ethiopia)
Hii mikebe imechakaa...saazile dunia mzima yapania kununua S400 bado nyinyi mpo kwa missiles za 1960s?
 
Let's now compare our short range air defenses
Tanzania operates FB 6A and FN 6A which are mounted on trucks while the radar is carried by a separate vehicles.
Maximum firing altitude is 5.5km to 6km
Speed of projectile is 360m/s

Kenya operates Mistrial system maximum firing altitude is 6km at a speed of 800m/s
 
Tank zote zinasambaratishwa mara moja na hii kitu toka mbaaaaaaali
Pitia hapa uelewe ninachokuambia. Kenya ni mchumba sana katika ulingo wa mapambano

We have specific missiles for antitanks warfare huwa mtu hatumiangi MLRS .
KDF operates Milan and Swingfire for antitank warfare what do JTWZ use?
 
Let's now compare our short range air defenses
Tanzania operates FB 6A and FN 6A which are mounted on trucks while the radar is carried by a separate vehicles.
Maximum firing altitude is 5.5km to 6km
Speed of projectile is 360m/s

Kenya operates Mistrial system maximum firing altitude is 6km at a speed of 800m/s
We don't need short range bro. Sisi tubakufuata hapo hapo Nairobi with this
BM-30 or A-100
1572164199359.png

1572164239162.png
 
Tank zote zinasambaratishwa mara moja na hii kitu toka mbaaaaaaali
Pitia hapa uelewe ninachokuambia. Kenya ni mchumba sana katika ulingo wa mapambano

What is the maximum range of your Best artillery gun
 
Back
Top Bottom