Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

We have specific missiles for antitanks warfare huwa mtu hatumiangi MLRS .
KDF operates Milan and Swingfire for antitank warfare what do JTWZ use?
Acha kupiga makelele wewe halafu andika kwa kiswahili. Tunataka utuoneshe siyo kupiga kelele hapa
Hizi weapon za TZ nyie endeleeni kupiga kelele kwenye mitandao

1572164402865.png
 
Kwanza tofautisha missiles za airdefense na za ku shell.
🤣 🤣 🤣 🤣 Naona unababaika tu. Acha ujinga wewe. Nyie ni wachumba tu hamuwezi chochote kazi zenu kuchonga midomo na KUIBA
I told you to show us your weapon na nitakuaeleza counter attack ya hizo from JWTZ.
 
Si Tena ulikuwa unataka tufanye comparison ?...mbona unachange goal post.
Nimekuambia uweke hapa hizo silaha your keep talking without action. Wewe weka weapon zako hapa halafu tukufundishe.
 
The weapon carried by the truck is a radar hio hapo juu ni SA 3 GOA maximum firing altitude is 18km
Kenya tunatumia SA - 11 BUK 1 M
Acha ujinga hiyo inaitwa SA-6 kazi yake ni (Surface to Air) Kushusha ndege au kitu chochote toka angani.
So is your turn sasa.
 
The weapon carried by the truck is a radar hio hapo juu ni SA 3 GOA maximum firing altitude is 18km
Kenya tunatumia SA - 11 BUK 1 M
Okay leta evidence kama ninazozilteta mimi,
For my information this are countries operate BUK
1572165543528.png
 
The tanks here are known as type 59 very light weight armour cant Survive a 50cal bullet let alone antitank missiles
Naona unapiga domo tu kijana tumeanza na
SA-6 umedai mpo na SA - 11 give me the evidence. Mbokna kitu kidogo tu.
Per information this are countries operates BUK. Kenya is not one of them
1572165681788.png
 
Back
Top Bottom