Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

Unachosahau ni kuwa Tanzania ilikuwa ni nchi ya kijamaa. Sera nyingi za kiujamaa miaka ya nyuma kwenye masuala ya jeshi ilikuwa ni ada kwao kutoweka wazi mambo ya jeshi.

Hiyo tabia ndiyo Tz ilivyoibeba na inaendelea nayo mpaka sasa! Ijapokuwa kuna baadhi ya vitu vya jeshi zitawekwa wazi ila nyingi zinafichwa.

Ila ukijaribu cha mtemakuni utakiona!
 
images (29).jpeg

Hii ni airdefense ingine Rapier just Google the operators
 
Shifta War
Crashing of the Sabaot Land defense force

Capture of Tabda Somali
Capture of Kismayu Port
Capture of Kuday
Capture of Bilis Qoqani
Capture of Jilib
Capture of Dhobley.
Capture of Afmadow
Capture of Ras-Kamboni

By the way these are capture, occupation and control..
Not these victories you talk about TPDF, you run into the scene, fire some bullets and declare victory.

Hizo mission aziifiki hata ile ya comoro,dk 20 tu jwtz ikachukua moroni na visiwa vingine vyote tena bila kumwaga damu
 
Licha ya hayo we have very many antitanks missiles even our navy have some serious heavyweight missile systems that have a range of 350km.
 
Licha ya hayo we have very many antitanks missiles even our navy have some serious heavyweight missile systems that have a range of 350km.
Leta jina la hiyo heavy hapa siyo kutuletea maneno ya kwenye kanga kama mwanamke.
 
Ukitaka hata tufanye detailed comparison ya J7 jets you can bring it on. The best they could do is run away after they realize an an F 5 E is in the air .
 
Pwahahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo kijana siyo BM. Hiyo ni Ant-Ship
Tunatala ulete ballistic missile
Kama niliyo kuonesha (BM-30)
Kwanza what do you understand by the term ballistic missile ?
 
Pwahahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo kijana siyo BM. Hiyo ni Ant-Ship
Tunatala ulete ballistic missile
Kama niliyo kuonesha (BM-30)
BM 30 smerch is a surface to surface missiles max range 90km Ottomat Mk1 is also a surface to Surface missile max range 350km
 
Our more than 40 MD 500 helicopters alone can wipe out all your Surface to surface missiles in less than an hour .
Ona ulivyo mjinga sasa. Naona umekwamba yaani Helicopters ziruke mpaka zifike mount Kilimanjaro tunakuangalia tu.
Unaijua lakini BM-30 na A100 au unaropoka tu.
 
Back
Top Bottom