Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wasomali wanafanya yao. Haaaaa.. kijerumani, kirusi, kichina. Vinatutosha sana.Kama nyinyi ni wajinga kiasi cha kutoelewa lugha la dunia la kiingereza mnataka tuwasaidie vipi?
Nyie hamjui kingereza. Hata mkilewa mnaongea ze ze ze tu. Hakuna maneno yanayoelewekaPenda cha kwako chief...unashobokea lugha za wakoloni wenu eti lugha ya dunia, lugha hyo mtu akilewa huku bongo anaongea[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Mzee anatia huruma huyu...kwahyo hapa anahojiwa huku ameshikiliwa na alshabaab?...Some one:KDF is best army in east africa also is among of most powerful armies in africa according to global blah blah blah !!
Me:wacha weeee enhee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
ndio hapo kashikiliwa na alshabaab ndio maana anaomba serikali imsaidie nivile alshabaaba hawajataka kurecodiwaDah Mzee anatia huruma huyu...kwahyo hapa anahojiwa huku ameshikiliwa na alshabaab?...
Tz sio level yenu km mpk iraq walihusika bas sio wa kuwachezeaClose view of the first version of the CMZ-4 rifle as seen with an officer under the Kenya Police Services 🔥 🔥 🔥
View attachment 1918236
Automatic & Semi-automatic, 45mm by 5.56 millimetre calibre(NATO)
Baba wasomali ni habari nyingineMiaka michache sana iliyopita, Major General Mwakubolwa aliongoza wanajeshi wachache wa TPDF kule DRC kuwatimua M23 na Laurent Nkunda hadi walipohakikisha wanavuka mpaka kuingia Rwanda kwa mfadhili wao. Major Gen. Mwakibolwa, baada ya kutoka DRCmiaka minne iliyopita alipandishwa cheo na kuwa Mnadhimu Mkuu wa TPDF na amestaafu mwaka juzi .
Mwaka 2012/13, TPDF ilienda kuwafurusha walioipindua serikali ya Comoro ndani ya wiki moja. Mwaka 1977, TPDF walivuka bahari ya Hindi hadi Seychelles kumrejesha madarakani Rais Albert Renne aliyekuwa amepunduliwa.
Do you want us say more? TPDF ni habari nyingine, it is well disciplined, very tactical and very experienced army. UPDF imepigana hadi vita vya maguguni huko Mozambique tangu 1976 hadi miaka ya 1990, kumbuka kuwa TPDF walipigana na Idd Amin wa Uganda pia wakati wakiendelea kuwakabili RENAMO kule Msumbiji.
KDF wamepigana wapi? Pale Somalia, hadi leo wanakurupushana na Alshaabab, TPDF ingekuwa imeshamaliza kazi muda mrefu!
Vv