Kenya arrests traders of Tanzanian beer after local brands lose out the price war

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Polisi waliendesha ukaguzi katika maghala ya kuhifadhia bia wakitafuta wafanyabiashara waliohifadhi bia za kutoka Tanzania

Mmoja wa Wamiliki wa bar, Benson Chacha ameeleza kuwa Polisi waliwavamia majira ya jioni na kufanya ukaguzi, walichukua 'crates' kadhaa na kuwaweka chini ya ulinzi baadhi ya wafanyakazi

Bia kutoka Tanzania zimepewa jina 'Magufuli' na zinapelekwa kwa wingi nchini humo kutokana na kuwa bei rahisi ikilinganishwa na bia zinazotengenezwa nchini humo

Aidha, Wauzaji wanasema kuwa wanalazimika kuuza bia hizo kwa kuwa wateja wao wanazipenda kuliko zile zinazotengezwa nchini Kenya
=====

Scores of traders in Kuria region, Migori County, were arrested for selling Tanzanian beer.

The crackdown, which begun on Friday evening, saw the police officers storm bars and beer depots to search for the Tanzanian beer. Those who had stocked the beer were hounded into police trucks and taken to police cells. The most affected areas were Ntimaru, Kegonga, Senta, Ntimaru and Nyamtiro.

"The police officers ambushed us late in the evening just when many customers were enjoying their drinks.

They took away several crates of beer and arrested many the bar attendants," said Mr Benson Chacha, a bar owner in Ntimaru.

CHEAP BEER

Tanzanian beer, locally called Magufuli, is one of Tanzanian goods which have flooded the Kenyan side of the border as it is cheap compared to the Kenyan beer. Bar owners say they are forced to sell the beer because their customers do not like Kenyan beer.

"Why should I stock Kenyan beer yet very few people buy and the stock rarely moves?" said Ms Susan Boke, a pub owner in Kehancha.

Some brands of Tanzanian beer go for as cheap as Sh80 with the most expensive one going at Sh120. All Kenyan beers in the region retail at Sh200 making Tanzania beer popular.

POROUS BORDER

The traders have taken advantage of the porous Kenya-Tanzania border to smuggle the beer into the country. Security officials in the county have vowed to end the illegal business.

Migori County Commissioner Joseph Rotich recently said the police will launch a crackdown on contraband goods in the region.

The Friday crackdown came a few hours after Deputy President William Ruto left the region after he officially opened Kuria East police divisional headquarters at Kegonga.

The DP had reiterated the government's commitment to fighting insecurity in the region.

Migori traders arrested for selling smuggled beer

MY TAKE
JPM should respond to that!
 
I think they are not smuggled at all. Give a dog a bad name then kill it, That is what Kenyan authorities are doing. I wonder for how long will they do that yet consumers keep on wanting quality and affordable products. Its a known fact production costs in Kenya are higher compared to Tz, eventually kenyan consumers will switch to any thing Tanzanian. Its just a matter of time
 
We need to retaliate ASAP no time to laugh with them!
 
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. Bia za bongo ni bia bora kabisa na kuna badhi kama BALIMI zimebuniwa na Watanzania kuendana na ladha na mahitaji ya waafrika. Utazuia vipi? pombe ni ngumu sana kuthibiti. Mbaya zaidi hapo migori ni sawa saawa na MUSOMA tuu, kila kitu wananchi wanashirikiana, kwani hawaoni hizojuice zenu za taska?
 
Sijui kama mleta mada anaelewa 'smuggled beer' inamaanisha nini? Inamaanisha bia zenyewe hazilipii kodi upande wa Tz wala upande wa Kenya kwasababu zinaingizwa kinyemelea. Mbona Bakhresa anaingiza mali yake pale Namanga bila presha? Ama watz mnajivunia kupoteza mapato kwenye bidhaa zinazovuka boda?
 
 
Lakini si tuna free market economy baina yetu kwa bidhaa za ndani?
 
Fact
 
Lakini si tuna free market economy baina yetu kwa bidhaa za ndani?
Kama kweli tuna 'free market' sidhani vile vifaranga vya Kenya vingetiwa moto pale Namanga. Alafu bia pia sio 'basic commodity' kama vyakula na vinywaji vingine. Ingefaa hizo bia za kitz ziwe na depots za kufanya supply upande wa Kenya, vyeti vya usalama wa bidhaa zenyewe kutoka KEBS na ukumbuke serikali za kaunti pia huwa zinatoza ada za uendeshaji wa biashara ndani ya mipaka yao.
 
Hizo bia zimeingia kimagendo au zimelipiwa ushuru?
 

Wenyewe wamekatalia mbali sukari ya Zanzibar ambayo ni nchi ndani yao kwa kupitia usanii fulani wanaita muungano. Lakini wao wakiguswa hulia sana...hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…