Kenya arrests traders of Tanzanian beer after local brands lose out the price war

Kenya arrests traders of Tanzanian beer after local brands lose out the price war

Hiyo ni biashara haramu. Dawa ni watu waombe uajenti wa bia zetu huko kenya.
 
Wacha wanywe magufuli..! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Pombe Magufuli.
Wacha watu walewe wasahau shida zao.
Leta Magufuli mbili nipo hapa Kibera.
 
Hizo ni bla bla tu
Kila kinachotoka kinalipiwa kodi kwa hiyo huko ni kuharibiana jina na jirani kwa michezo hiyo wanajulikana sana

Subiri sasa na kodi tunapandisha mara 2 maana mmezipenda wenyewe za Magufuli
 
Bila ku sort out matatizo na manyang'au, biashara huko kaskazini zitakuwa ngumu sana, mbona ni jambo rahisi tu?! 😡🙁🙄
 
Wenyewe wamekatalia mbali sukari ya Zanzibar ambayo ni nchi ndani yao kwa kupitia usanii fulani wanaita muungano. Lakini wao wakiguswa hulia sana...hehehe
Ile sukari toka Brazil iliyochanganyika na mercury iliyoingizwa na wasomali wenu kupitia Majority leader na Waziri was biashara mliyoikataa juzi kitoka Uganda!
 
Magufuli is on tour he will go all the way to Rufiji delta. Every preparation is ready!
Mwambie huyo. Project ilishaanza muda. Umeme na barabara zinachongwa kuelekea kwenye mradi.
 
Hii ishu inahitaji harmonisation ya kodi pia. Common market bila tax regime harmonisation lazima italeta shida. Businessmen will look for anything that makes profit. Nilishangaa juzi bia huku Arusha zimeanza kupanda bei. Mfano Kilimanjaro ndogo imepanda kutoka 1500 hadi 1700 ghafla tu.
 
Geza Ulole, naona mbinu yako ya kueneza chuki imegonga mwamba hadi ukabadilisha kichwa cha mada yako kutoka ile ya awali ya bia za Tz sijui eti zimepigwa marufuku. Uwe unawaza kama mtu mwenye akili zake bana.
 
Pombe Magufuli.
Wacha watu walewe wasahau shida zao.
Leta Magufuli mbili nipo hapa Kibera.
Wewe anajua hata hiyo Kibera wakaazi wake wanapata umeme 24/7 kuliko wewe na wenzako wa Dar slum na Tanzagiza(no pun intended) kwa ujumla.
Dar INA giza kuiliko Kibera.
 
Anyway, Nazani Itapendeza Km Ikifanyika Respond Ya Kupiga Ban Bidhaa Zifuatazo Na Sisi Hapa Nyumbani

1.Hedex Na Panadol Extra
Maana hata sisi tuna Dawa 3 na kiukweli nilishatumia hii ni HEADACHE KNOCKOUT

2.Blue Band na Margarine Zote
Hapa Nyumbani Tuna MO Margarine tna iko poa na nishatumia na iko poa na ladha safi

3.Pipi na Peremende Zote pamoja na Maziwa
Asas, Tanga fresh, Azam na Ivory wana bidhaa bora sna hawa na hamna haja ya Bidhaa zao

4.Sufuria za Kalu Works
Tuna viwanda kibao vya Iron Works hatuna Haja nazo
 
Ndo tunapoenda Wakubwa wanapita humu!
 
Wewe anajua hata hiyo Kibera wakaazi wake wanapata umeme 24/7 kuliko wewe na wenzako wa Dar slum na Tanzagiza(no pun intended) kwa ujumla.
Dar INA giza kuiliko Kibera.
Prove umeme kibera. Maji miaka 10 hayatoki vijana watumia glue wewe unaongelea umeme kibera!!
 
Ndo tunapoenda Wakubwa wanapita humu!
Kwani wakubwa wenu watakuwa mambumbumbu kiasi gani hicho ili waanze visasi vya kipuuzi kwasababu ya maneno yako ya kichonganishi na habari za vita vya walevi kutoka mashinani? Ungetuletea maagizo kutoka serikali kuu Nairobi kuhusu marufuku yeyote ya bidhaa za kitz ingependeza zaidi. Mimi binafsi na wakenya wengine wengi hawawezi bagua bidhaa zozote zile kisa eti zimetoka Tz. Mwisho wa siku wanunuzi wanataka bidhaa zenye bei nafuu na za ubora wa kuwapendeza. Tembea Namanga uone biashara zinavonawiri bila ya kubagua made in Tz au Kenya. Fika pale Diamond Club, Namanga upande wa Kenya uagize Balimi au Kili uthibitishe mwenyewe kama hutaletewa bila ishu. Wahamasishe wazalishaji na wenye viwanda Tz wachangamkie fursa inavyostahili. Acha kulialia nyuma ya keyboard.
 
Back
Top Bottom