Watarudi??200ksh per beer??? Wakenya watarudi kwa speed kunywa chang’aa.GoK on crisis mode.
Stiegler's hata bado haijaanza, endelea kuota.Bei inanufahisha wakubwa! Na bado Stiegler's Gorge ikiisha production cost itazidi kupungua.
Ile sukari toka Brazil iliyochanganyika na mercury iliyoingizwa na wasomali wenu kupitia Majority leader na Waziri was biashara mliyoikataa juzi kitoka Uganda!Wenyewe wamekatalia mbali sukari ya Zanzibar ambayo ni nchi ndani yao kwa kupitia usanii fulani wanaita muungano. Lakini wao wakiguswa hulia sana...hehehe
Magufuli is on tour he will go all the way to Rufiji delta. Every preparation is ready!Stiegler's hata bado haijaanza, endelea kuota.
Mwambie huyo. Project ilishaanza muda. Umeme na barabara zinachongwa kuelekea kwenye mradi.Magufuli is on tour he will go all the way to Rufiji delta. Every preparation is ready!
Mfano mzuri ni Konyagi. Walifanya hivyo na wakafanikiwa. Sasa hivi Stockist wengi na distributers huku Kenya hawakosi Konyagi.Hiyo ni biashara haramu. Dawa ni watu waombe uajenti wa bia zetu huko kenya.
Wewe anajua hata hiyo Kibera wakaazi wake wanapata umeme 24/7 kuliko wewe na wenzako wa Dar slum na Tanzagiza(no pun intended) kwa ujumla.Pombe Magufuli.
Wacha watu walewe wasahau shida zao.
Leta Magufuli mbili nipo hapa Kibera.
Jamaa hawajui forces of demand and supplyBei inanufahisha wakubwa! Na bado Stiegler's Gorge ikiisha production cost itazidi kupungua.
Ndo tunapoenda Wakubwa wanapita humu!Anyway, Nazani Itapendeza Km Ikifanyika Respond Ya Kupiga Ban Bidhaa Zifuatazo Na Sisi Hapa Nyumbani
1.Hedex Na Panadol Extra
Maana hata sisi tuna Dawa 3 na kiukweli nilishatumia hii ni HEADACHE KNOCKOUT
2.Blue Band na Margarine Zote
Hapa Nyumbani Tuna MO Margarine tna iko poa na nishatumia na iko poa na ladha safi
3.Pipi na Peremende Zote pamoja na Maziwa
Asas, Tanga fresh, Azam na Ivory wana bidhaa bora sna hawa na hamna haja ya Bidhaa zao
4.Sufuria za Kalu Works
Tuna viwanda kibao vya Iron Works hatuna Haja nazo
Prove umeme kibera. Maji miaka 10 hayatoki vijana watumia glue wewe unaongelea umeme kibera!!Wewe anajua hata hiyo Kibera wakaazi wake wanapata umeme 24/7 kuliko wewe na wenzako wa Dar slum na Tanzagiza(no pun intended) kwa ujumla.
Dar INA giza kuiliko Kibera.
Kwani wakubwa wenu watakuwa mambumbumbu kiasi gani hicho ili waanze visasi vya kipuuzi kwasababu ya maneno yako ya kichonganishi na habari za vita vya walevi kutoka mashinani? Ungetuletea maagizo kutoka serikali kuu Nairobi kuhusu marufuku yeyote ya bidhaa za kitz ingependeza zaidi. Mimi binafsi na wakenya wengine wengi hawawezi bagua bidhaa zozote zile kisa eti zimetoka Tz. Mwisho wa siku wanunuzi wanataka bidhaa zenye bei nafuu na za ubora wa kuwapendeza. Tembea Namanga uone biashara zinavonawiri bila ya kubagua made in Tz au Kenya. Fika pale Diamond Club, Namanga upande wa Kenya uagize Balimi au Kili uthibitishe mwenyewe kama hutaletewa bila ishu. Wahamasishe wazalishaji na wenye viwanda Tz wachangamkie fursa inavyostahili. Acha kulialia nyuma ya keyboard.Ndo tunapoenda Wakubwa wanapita humu!