Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kaona huko kwa Kinjekitile,ni utapeli mtupu,hskuna ukweli.KATOKA KWA MZUNGU KAENDA KWA MWARABU MAMBO NI YALE YALE TU!!! ANGEACHA DINI ZOTE AKAJA KWA KINJEKITILE NDIO INGEKUWA HABARI! WAPI PADRE MCHARO UMEPIGWA PINI NINI BONA KIMYA!!
Yesu Mwenyewe alisema:Mkristo anaye mwacha Yesu Kristo na kwenda nje.
Huyo hakuwahi kumwelewa Kristo wala hakuwahi kuwa
Mkristo bali alikuwa Mkristo jina.
Kubadili imani ni siyo kosa la jinai mtu ana uhuru wa kuamini na kufuata imani yoyote ile.
Ila kwa wale wanayoifuata imani inayotokana na Kulitii Neno la Kristo Yesu kamwe hawawezi kuiacha imani hiyo takatifu.
Kwakuwa Roho Mtakatifu anawasaidia kuwaimarisha kiimani kila siku.
Bila kuwa na Roho Mtakatifu ambaye ndiye Msaidizi wetu wa Imani huwezi kumwelewa Yesu Kristo.
Mwisho wake unaamua kutangatanga kiimani, mara leo ni Mbudha, kesho unahamia kuwa Mbahaullah, keshokutwa Mrastafariani, mtondogoo Mhindu mwisho wa siku unaingia Freemasonry.
Ushihi ameshauona,halafu wewe wauliza ipi sahihi.Nguo fupi za wanawake,wakiwa kanisani!! Yaani hiki ndio kilichomkera akahamia upande wa pili!!
Kuna sababu zingine za kimafundisho au ni hii moja?,
Yaani kwa upande wangu,uende Buddha,uhindu,yote ni yaleyale,
Wengi hizi kwenye hizi imani,tumejikuta,kwa sababu wazazi wetu tuliwakuta humo,nasi tunaamini imani ya wazazi wetu,
Imani hizi,zilikuwepo miaka mingi kabla ya uwepo wetu,no proof kwamba hipi ni sahihi
Kama kuchumia tumbo angebaki huko alikotoka,huku alikokuja hakuna kuchumia tumbo,hakuna to a kwa ajili ya Bwana.Ni wale maaskofu na mitume wachumia tumbo
Usijindanganye,dunia nzima imeshajua,mnaojilipia ni nyinyi,halafu mnasingizia waislamu.Juzi tu kwa kipindi kifupi,Wa pili America kawamiminia risasi wakristo wenzake kanisani,wacha aliyewamiminia kwenye shererehe,ugaidi mfanye nyinyi,msingizie wengine.Dini yenyewe nadhani alianzisha kama wengine, kaona mshiko hautoshi hivyo kaahidiwa madolla pamoja na kukusanya watoto wa watu kupelekwa kujilipua. Yawezekana tena kapachika watoto wa watu mimba kibao hivyo inabidi awaoe.
Huyu kaache vyote kaingia,kuliko sahihi.Hii ni sawa na kuwacha cocaine na kuingia heroin.
Huko alikotoka ndio kwenye pesa, ya Toa fungu la kumi la Bwanahahaaaa Shetani anajitahidi sana kuwapata wachungaji wa mshahara
Utaumia sana,uislamu unasonga mbele.Kichwa cha habari ni kuwa; Askofu asilim na wafuasi wake!
Unasema ana umri wa miaka 65 halafu ni kanisa la East Africa. Kwa miaka 65 kanisa aliloongoza EA nzima likawa na waumini 23 tu huku akizunguka pwani zoote za EA.
Naunga mkono wazo lake la kusilimi. Hiyo ni dini isoongezeka kwani iliingia EA kabla ya ukristo lakini bado wameishia hapo hapo Pwani na himaya yao imeshapekechwa na Christianity kiasi kwamba hawana walipo imara tena.
Hao ndo wala nguruwe wa kwanza kuliko hata wafuga nguruwe
Si bora kufuata mabikira ,kuliko kwenda kupakatwa na Ibrahimu,kama Lazaro yaliyomkuta ya kupakatwa.Hana lolote huyu mnafiq kafuata ma bikira 70 wenye macho makubwa kilichompeleka huko ni vigenye mshindo tu
Na jini Mwenyewe ndio wewe.Ujue kashapata jini huyo.
Na jini mwenyewe, ndio wewe.Ujue kapata jini mahaba huyo.
Amdshtuka,kaona huko hakufai,kakukimbia.Hivi mnajua maana ya Askofu ninyi? kwanza askofu ana kanisa? yaani wahuni wanaojitngazia wenyewe bila ya kusomea, kuwekewa mafuta matakatifu kuwa maaskofu , wanaojijengea vibanda vyao na kuviita makanisa ndio mnaleta habari zao hapa? kweli wanaojiita waprotestant wamelichafua sana kanisa. Wanaiga kuanzia mavazi (ila ukiyaangalia mavazi yao utayajua tuu maana yameshonwa hovyo hovyo na hayafuati dressing code ya kanisa) , wanajijengea majumba mifano ya kanisa, wanajaribu kuigana kuimba nyimbo za kikristo ila (utayajua kwa maaana wanatumia magitaa kama watu wa kuchezesha madisko) wao bado wameambatana na mambo ya kidunia kama kuoa na kumiliki mali binafsi. Ndio hao inabidi watafute jina jingine wasijiiite wa kristo
Kakimbia kwenda kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa Lazaro.Hapo ujue akifuzu anaenda kata mauno mbele ya Mungu wake huku akiuangalia [emoji102] ufundi wa Mtume wake anavyo serebuka [emoji4] daah?!
Yuko hai yuko wapi.Na wakati anakata roho,alsemaHakuna cha ajabu. Huyo jamaa si ajabu alijiita Askofu na member wake ndio hao hao 23. Pili njaa kali imemuibua. katika kenya Homa bay ni moja ya sehemu zenye shida sana ya kiuchumi so labda njaa inamsumbua. Huku tulipo watu wanahongwa wanawake wa kiislamu, kufunguliwa biashara nk ili wasilimu. Hakuna shida dini siku hizi ni kama game ukitaka wanawake wengi nenda uislamu mpaka 4 utapata, ukitaka kuwa free kunya viroba na Konyagi nenda Vatican kwa wakina roma.
Tofauti kubwa hapa ni nani anayetajwa kwenye dini yao. sote tumeumbwa na Mungu na ni mali ya Mungu. Hawa wanamtaja Maria na hawa wana mtaja Mohamed na sisi tunaliitia Jina la Yesu Mwana wa Mungu aliye Hai, Mwanaume alikufa, akaitwaa Roho yake Siku ya Tatu akafufuka. this is big diffrent (gap) Kati wanaokwenda mbinguni na waliopotea Sisi tunaye mwabudu yupo hai waulize wakwao wapo wapi.
Hakuna maandiko hayo.Ila kuna kitabu kina maandiko ya Lazaro kupakatwa na Ibrahimu.Dah! Hivi haya maandiko yapo kwenye koran ama mnasingizia, maana kama kweli basi nijibu tosha kwa nini hawa watu hujilipua,siku zote nilikua najiuliza kiini cha huko kujilipua lipua.
Wewe utakuwa ni shetani,ndio ukaujuwa ushetani.Mwizi siku zote hujuwa wizi wenzake.Aisee! Kisa cha kuhamia kwenye huo ushetani ni nini? hebu tujuze mkuu
Sio kweli,kwenye uislamu hakuna Pesa za bure bure.Ameona kanisa halina sadaka na michango mingi,huenda ana waumini wachache na ameona fursa ya yeye kuwa muislamu na kuongoza msikiti itamlipa.
Hakuna kingine zaidi ya kuona fursa!! Labda kuna mfadhili wa kujenga msikiti yupo,ndio maana kaona isiwe tabu!!