KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Endelea kuabudu picha ya mcheza sinema,mpaka mwenyewe kasema yeye siye Yesu.Bado picha mwaziabudu.Mtu Mwenye akili kama yako ya kuabudu picha, ya mcheza sinema,uwekwe kwenye fungu gani, kama sio ugonjwa wa akili.
[emoji117]
hqdefault+%287%29.jpg
limefanana na kiungo gani mwilini...jee unaabudu??
 
Kitu kinachowashinda wakristo,ni kutofahamu kama waislamu hawamuabudu Mtume Muhammad,mtume Muhammad katika uislamu,ni mfikishaji tu,ya kile alichotumwa na Mungu,kukifikisha kwetu wanadamu,na ndio hivyo kwa mitume mingine kama Yesu,Musa,Ibrahim,Ishaka,Yaakubu,Yohana nk,hawa wote pamoja na huyo Yesu unayamuamini wewe tunawaombea rehema na amani,mbele za Mungu,wakati wakitajwa majina yao.Kwa hiyo kwanza ujuwe:
1:Waislamu hawamuabudu Mtume Muhammad,wanamuabudu Mungu(hakuna haja ya kutwajwa Mungu Wa kweli ,wala Mungu wa haki,kwasababu anazo sifa hizo,bila kuwa na umuhimu wa kuzitaja).
2.Yesu,pamoja na mitume mingine tunawaombea rehema na amani.
Kwa hiyo uelewe,hata Yesu,katika uislamu anaombewa rehema na amani,kwasababu yeye pia ni mtume ndani ya uislamu.
Aliye mtuma afikishe Ujumbe ni nani?
 
Aliye mtuma afikishe Ujumbe ni nani?
Mitume yote kuanzia Adam,Daud,Musa,Ibrahimu,Yesu,Muhammad,wote na wengine,wametumwa na Mungu.Na hata Yesu alisema katumwa:
...Akajibu ,akisema SIKUTUMWA ILA kwa kondoo waliopotea kwa nyumba ya Israel....
Mathayo 15.21-28.
 
ASKOFU ASILIMU KENYA NA WAFUASI WAKE, AGEUZA KANISA LAKE KUWA MSIKITI

Habari zilizotufikia kutoka Kenya, Askofu Charles Okwany ambaye baada ya kuichagua dini ya Kiislamu kuwa mwongozo wake wa wokovu duniani na Akhera amechagua jina la Ismail Okwany.

Amesema amesilimu baada ya kufanya utafiti wa kina kuhusu Uislamu. Amesema baada ya kusilimu, kanisa alilokuwa akihurbiri, lililoko katika eneo la Nyalgosi kaunti ya Homa Bay magharibi mwak Kenya, ambalo lilijulikana kwa jina la God’s Call Church of East Africa sasa limegeuzwa jina na kuwa Msikiti wa Jamia wa Nyalgosi.

Katika mahojiano na Jarida la Nairobian, Ismail Okwany amesema, wakati alipokuwa muhubiri wa Kikristo alikuwa akisafiri katika miji mbali mbali ya Kenya na Tanzania hasa katika maeneo ya pwani na alipata fursa ya kufanya utafiti kuhusu maisha ya Waislamu. Ismail Okwany anaongeza kuwa aliweza kulinganisha Uislamu na Ukristo na akaamua kufuatia Uislamu.

Aidha anasema moja ya mambo yaliyokuwa yakimkera sana wakati akiwa muhubiri wa Ukristo ni tabia ya wanawake kuingia ndani ya kanisa wakiwa wamevaa sketi fupi katika hali ambayo wanawake Waislamu wanakuwa wamejisitiri kwa Hijabu wakati wa ibada msikitini na hata nje ya msikiti.

Okwany mwenye umri wa miaka 65 alisilimu tarehe 26 Septemba akiwa na wafuasi wengine 23 wa kanisa lake na sasa wako mbioni kusajili rasmi msikiti wao.

Anasema Allaah (Subhanahu wa Ta’ala):

“Nyinyi ndio Ummah bora kuliko Ummah zote zilizodhihirishiwa watu (ulimwenguni) mnaamrisha yaliyo mema na mnakataza yaliyo maovu, na mnamuamini Allaah.” Aal ‘Imraan: 110

“Sema hii ndio njia yangu, ninaita (ninalingania) kwa Allaah kwa ujuzi wa kweli, mimi (nafanya hivi) na (kila) wanaonifuata. Na Allaah Ametakasika na kila upungufu, wala mimi simo miongoni mwa wanaomshirikisha (Allaah).” Yuusuf: 108

UNGANA NASI :

Kwa matukio na uchambuzi wa habari mbalimbali za kiislam ulimwenguni usikose kutembelea account yetu ya facebook ya Habari Za Kiislamu na pia jiunge na group letu la facebook la Uislamu Sahihi ni Qur'an na Sunnah.

Wabillahi at-Tawfiyq
Yaani baada kufanya utafiti ameona sababu moja ya wana wake kuvaa NGUO fupi wkt wa ibada dhidi ya wanawake kiislam wanaovaa hijbu. Kama hiyo ndio sababu na KANISA alilokuwa anahubili ni lake alitakiwa atoe mwongozo wa mavazi na kondoo(wumini) wake wangemtii. Sasa kama amehama basi tusubirie baada yakukaa huko kwenye uislamu akija kuona nako kunamapungufu atahama tena na kondoo wake.kikubwa tukumbuke kuwa Yalisha semwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa UWONGO.
 
Yaani baada kufanya utafiti ameona sababu moja ya wana wake kuvaa NGUO fupi wkt wa ibada dhidi ya wanawake kiislam wanaovaa hijbu. Kama hiyo ndio sababu na KANISA alilokuwa anahubili ni lake alitakiwa atoe mwongozo wa mavazi na kondoo(wumini) wake wangemtii. Sasa kama amehama basi tusubirie baada yakukaa huko kwenye uislamu akija kuona nako kunamapungufu atahama tena na kondoo wake.kikubwa tukumbuke kuwa Yalisha semwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa UWONGO.
1 Timotheo 1:20
'Katika hao wamo Himenayo na Iskanda,ambao nimempa SHETANI watu hao,ili wafundishwe wasimtukane Mungu'.
Hapa wazi wazi kua Shetani ndie mwalimu wenu,akiyewafundisha msimtukane Mungu.
Kwa manabii wa uongo sikuwako toka wakati wa Yesu,sio sasa.Kama hapo shetani,kwenu pia kawa nabii.
 
Umekubali kama unaabudu picha,hii ndio inahakikisha wazi kama wewe,akili yako inavyokupa kila picha ni uhalisia.Endelea kuabudu picha ya mcheza sinema.

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app

Mimi nimekuuliza hii [emoji117]
hqdefault+%287%29.jpg
imefanana na nini? Na mnapo ila denda wakti mnahiji inaashiria nini? kwa nini unisemee wakti Mimi najua hii ni picha na hii ni halisi...imefanana na nini cholo na kubusu inaashiria nini?!
 
Mitume yote kuanzia Adam,Daud,Musa,Ibrahimu,Yesu,Muhammad,wote na wengine,wametumwa na Mungu.Na hata Yesu alisema katumwa:
...Akajibu ,akisema SIKUTUMWA ILA kwa kondoo waliopotea kwa nyumba ya Israel....
Mathayo 15.21-28.
Achana na Yesu kwanza na hao unaoita Mitume [emoji4] swali nililo kuuliza abdul qathem ibn abd allah katumwa na nani??
 
Mimi nimekuuliza hii [emoji117] View attachment 632900 imefanana na nini? Na mnapo ila denda wakti mnahiji inaashiria nini? kwa nini unisemee wakti Mimi najua hii ni picha na hii ni halisi...imefanana na nini cholo na kubusu inaashiria nini?!
1Wakorintho 1:25
'Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu,na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.'

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
 
Yohana 20:17
Yesu akamwambia.Usinishike;kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba.Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie,ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni baba yenu,kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Yohana 20:17
 
1Wakorintho 1:25
'Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu,na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.'

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
Imefanana na nini [emoji117]
hqdefault+%287%29.jpg
hadi unaona aya za Prof Paulo Mtume wa Yesu zitakunusuru wewe na abdul qathem...jibu wewe imefanana na nini [emoji15] [emoji47]
 
Back
Top Bottom