KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Labda hapo kwenu, huku niliko watu wanagombea kuwa maimamu, wewe unasema hakuna pesa, watu wanagombea kuwa viongozi ili wapangishe fremu za biashara kuzunguka msikiti.
 
Kakimbia kwenda kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa Lazaro.
Walahi wewe ni [emoji117] mbaya [emoji12] unampinga hata allah na abdul qathem waliosema [emoji117] tena na kukuagiza kwa uchungu na machozi [emoji117] wee umebakia kifuani kifuani [emoji9] [emoji33] ndio sababu allah amesha kuhukumia moto [emoji117] au unaona maskhara??? Hana maskhara na mtoto wa mtu cholo wee hangaika unacho kipanda utavuna tu [emoji15] [emoji4]
 
Wafurahi kupakatwa na Ibrahimu.Maana ya kafiri,ni kufarikiana,kuwa tofauti na mwingine.Hata mtu mrefu na mfupi,mmoja anaitwa kafiri Wa mwemzake.Kasome,wacha kudandia maneno,wenzako wanadandia magari.
 

Duniani kuna mambo.

sasa kama kanisa lilikua lakwakwe alishindwaje kupiga marufuku nguo fupi kanisani na mtaani kwa waumini wake?? Kuna sehemu Biblia imeruhusu uvaaji wa Nguo fupi?
 
Wewe sio mkristo usivae kivuli cha upande wa Yesu kristo kutetea uislamu wako . damu ya Yesu ikuchome pipote ulipo ikufunike utoke usingizini na majini yako uliyonayo
 
Kumbe ni Askofu kwarukwaru ambalo ni Ny*ege zilizomponza kwani amesema eti amechukia wanawake kuvaa vimini kanisani.

Kwani alienda kuangalia vimini au kuendesha ibada?
 
askofu kwa wakristo wengine ni kiongozi wa hata wakristo 10.....nilidhani unazungumzia arc bishop wa nairobi !!!!!!!!
 
Yesu Mwenyewe alisema:
Eloi,Eloi lamasabakhtan?
"Mungu wangu,Mungu wangu,mbona umeniacha?"
Jiulize huyu aliyeachwa na Mungu,ni Mungu yupi aliyemuacha?
Tafakari,chukua hatua.
Inaonekana hata wewe bado hujamwelewa Yesu Kristo, ingawa unaonekana ni msomi wa Imani za dini.
Yesu alipokuwa duniani alikuwa na Utukufu wa Mungu uliokamilika ndani yake.
Ndio maana aliweza kuzungumza na kutenda mambo ambayo hakuna binadamu aliyeweza kufanya.
Kwa mfano.

Qurani inakiri kuwa Yesu aliweza kumwumba Ndege huyu kiumbe anayeruka na mabawa na kutaga mayai.

Biblia inakiri kuwa Yesu aliweza kuwasamehe dhambi watu waliotubu mbele yake.

Qurani inakiri pia kuwa Yesu Kristo alikuwa Mtakatifu na hakuwa na dhambi.

Mambo haya na mengine mengi yanatuthibitishia kuwa Yesu Kristo ingawa tulimwona kama binadamu lakini ndani yake alikuwa na Mamlaka na na Utukufu kamili wa Mungu.

Sasa basi Yesu alivyokuwa Msalabani akikaribia Mauti, ule Utukufu wa Mungu uliondoka ndani yake, kwani Utukufu wa Mungu hauwezi kukaa katika Maiti ya Binadamu.

Ndipo sasa Yesu akaona hana nguvu tena, amebaki kama binadamu wa kawaida, ndipo akalia "Eloi Eloi Rama Sabakhtan"
Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona imeniacha

Na haikuchukua mda akakata Roho.
Neno "mbona umeniacha" linathibitisha kuwa toka anazaliwa Yesu alikuwa na Mungu ndani yake, kwakuwa Mungu ni Roho, sisi binadamu hatukuweza kuiona ile Roho kamili ya Mungu iliyoko ndani ya Yesu.
Bali kwa kupitia Sifa, Matendo na Maneno yake tulimwona Mungu ndani ya Yesu Kristo na ni kweli aliishi ndani yake hadi pale msalabani ndipo Mungu alipoondoka ndani ya mwili wa Yesu Kristo, na alimrudia tena siku tatu baadae na kumfufua kisha kumtwaa Mbinguni kwa kumpaisha laivu kabisa mbele ya wanafunzi wake.

Sisi Wakristo tunaposema Yesu ni Mungu hatuuangalii ule mwili wa Yesu.
Bali tunauangalia Utukufu, wa Mungu uliokuwa ndani ya Yesu Kristo.

Ndipo Yohana anapo sema kuwa, NENO ndiye Mungu, na ndiye Muumbaji, na kwakuwa anatupenda sana wanadamu wake aliotuumba, akamua kuja kwetu kutueleza KWELI ya Ufalme wa Mbingu, akavaa mwili wa mtu, (Yesu Kristo) kama alivyomtembelea Ibrahimu katika Mwanzo 18, katika umbo la mwili wa Mtu, Ibrahimu alipomwona akamtambua kwani alijaa Utukufu wa Mungu. Akamwandalia chakula na akala na baadae akamwomba neno hili,
"Akasema, BWANA asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, Huenda wakaonekana huko kumi? Akasema Sitaharibu kwa ajiri ya hao kumi" Mwanzo 18 : 32.

Ibrahimu kwajuwa alikuwa na Hekima alimtambua Mungu ijapokuwa Mungu alimjia kwa umbo la kibinadamu.
Majirani na Wafanyakazi wa Ibrahimu hawakujua kuwa Ibrahimu amepata Ugeni Mzito kwani waliwaona watu wa kawaida tu.

Kuielewa Biblia kunahitaji Ufahamu na Hekima kama aliyokuwa nayo Ibrahimu.
La sivyo tutabaki kushangaa na kuuliza maswali kama Majirani na Wafanyakazi wa Ibrahimu, ambao Mungu anawatembelea wao wanakimbilia maswali ya÷

Mgeni katokea wapi huyo ?

Mungu anapumzika kivulini ?

Mbona anakunywa maji anasikia kiu kwani ?

Kama Mungu ndo yule kamwacha nani huko Mbinguni ?

Si wanasemaga Mungu yupo kote kote sasa mbona kakaa kwenye kiti kimoja tu ?

Mungu anasikia njaa kwani hadi ale mkate na nyama ya ndama ?
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^

Ivi ungekuwa unaulizwa maswali hayo wewe, ungewajibu jibu gani ?

Tafakari, Mtafute kwanza Hekima maana yeye ni bora kuliko mali nyingi.
 
Mwenyez mungu subuhanahuh wa taalah alimuambia Awakummbushe wafuasi wake na akumbushe umati wati na kazi ya kuongoa siyo ya kwake •bs uongofu unapomjia bianadamu huwa hakuna kitu zaidi yankuamin. Tyuu
 
Watu waliomuua yesu WANA DHAMBI?
 
Maaaluni Muhammad Ibn Abdullah....!

Huyu amekimbia nguo fupi yakhee sasa aenda kukutana na yafuatayo pichani.
 
Niulize chochote kuhusu Muddy wa Mecca, Abou Sufian, Abou bakr, Othman, ama Oumar.....na Bi Khadija

Watakan...kata!

Karibuni.
 
Watu waliomuua yesu WANA DHAMBI?
Ni Mungu pekee ndiye anayejua nani ana dhambi na sio sisi wanadamu.
Kwa mfano,
Wengi tunaweza kumwona Farao mfalme wa kale wa Misri kuwa anadhambi kwa kuwatesa Waisraeli.
Lakini Mungu anatuambia mahali kuwa, uliufanya Moyo wa Farao kuwa mgumu ili utukufu wake upate kuonekana.
Walio mwua Yesu walitimiza andiko la kuwezesha Kifo cha Yesu na ufufuko wake.
Na atakaye wahukumu ni Mungu mwenyewe na ndiye anayejua kama wana dhambi au la.
Inawezekana walitenda dhambi na wakaja kutubu baadae, au inawezekana hawakuwa na dhambi kwa kutimiza andiko, lakini wakaja kutenda dhambi baadae.
Yako maswali ambayo anayeweza kuyajibu ni Mungu peke yake, kama hilo lako.
 
KWA IMANI YENU YA UKRISTO KUUA NI DHAMBI AU SIO DHAMBI?
 
KWA IMANI YENU YA UKRISTO KUUA NI DHAMBI AU SIO DHAMBI?
Kuua kusikoruhusiwa na Mungu ni dhambi.
Kabla ya Ukristo kuwepo duniani kuna baadhi ya mauaji yaliamriwa na Mungu.
Mfano katika Agano la kale, Mungu aliruhusu wanaomkufuru wapigwe mawe hadi kufa.
Pia Waisraeli waliruhusiwa kuwaua maadui zao katika vita.
Mfano Daudi alivyomwua Goliati.
Wakristo tumeambiwa sisi kama banadamu ni dhambi kumwua binadamu mwenzetu.
 
Kwa hyo waliomuua yesu. Waliruhusiwa?
 
Ndani ya Qur'an inaelezea Yesu yote aliyokuwa akiyafanya,aliyafanya kwa idhini ya Mungu,hakufanya kwa kutaka Mwenyewe,kama huko kufanya ndege,kuponesha maradhi,kufufua wafu,ilikuwa ni kwa idhini ya Mungu,ilikuwa ni miujiza,anayofanyiwa na ,Mungu ili wayahudi wamuamini kama yeye ni Mtume wa Mungu.Ndio akasema,hata alipokuwa wanataka kumuua:
Mathayo 26:42
'Akaenda tena mara ya pili,akaomba,akisema,Baba yangu,ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa,mapenzi yake yatimizwe.'
Kwa hiyo Yesu alikuwa hafanyi lolote ,ila ni kwa kutaka Mungu.
 
Kwa hyo waliomuua yesu. Waliruhusiwa?
Asante kwa swali mujarab kabisa, nilikuwa natafuta andiko moja hivi na nimelipata,
Yesu amenukuliwa akisema hivi.

"Ndiposa Baba ananipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe.
Nami ninao uweza wa kuutoa, na ninao uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba"
Yohana 10 : 17 - 18

Sasa hapo tafakari nani aliruhusu kifo cha Yesu Kristo kwa mujibu wa andiko hilo ?

Kama Mungu aliruhusu basi waliomwua hawana hatia, kama wanadamu ndio waliomwua kwa maamuzi yao wenyewe basi wana hatia, ila Yesu anasema hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumwua, ni hiari ya Baba yake pekee ndiyo inayoweza.

( Kaka umeelewa hapoo...!
Unaweza kuniuliza swali lingine kinalo kutatiza ktk Imani ya Kristo ila nitakujibu baadae sana.
Nipo kazini na unajua awamu hii sio ya masihala masihala naweza nikatumbuliwa mda wowote nikionekana nipo bize na simu )
 
[emoji1][emoji1][emoji1]. Umejaaa.haya niambie Kama yesu alijitoa uhai. KWANINI ALIMLILIA MUNGU. KWAMBA KAMUACHA?
SOMA AYA YA 46.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…