MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Kikao tu cha masaa au siku kadhaa imekuwa hoja??, kama ndio hali hiyo Vipi kama makao makuu ya UN yangekuwa yapo Nairobbery??!!,----- akili zenu ni childishly 🤔
Duh!! Makao makuu yangekua huku labda tungewahamisha, ikiwa sasa hivi vikao vinawanyima amani.
Hehehe