Kenya bans Ugandan milk

Hatutakubali wakulima wa Kenya kukandamizwa na wakulima wa Tanzania au Uganda. Period.
 
Tanzania tukiruhusu maziwa ya kutoka nje tumekwisha. Viwanda vyetu vyote combined hawakuti production ya Brookside kwa siku, tutashandanaje nao?
 
Tanzania inazalisha kenya inazalisha uganda inazalisha lamuhimu hapa siyo kuwekeana ban ban ni aina ya upumbavu fulani ipangwe common rate za ushuru kwa EA kwa suala la maziwa kila mtu awe huru kupeleka popote apendapo and what happen here anayezalisha kwa bei ndogo ndiye atakaye win soko ili wananchi tunywe maziwa yafanane bei na soda yakhe au chini kabisaa hapa tatizo ni kwamba kenya alikwa ni holder wa soko karibu lote la EA sasa wakati nchi zingine nazo zinapotaka kujikwamua anajisikia vibaya tena "mpanda ngazi hushuka"
Hatutakubali wakulima wa Kenya kukandamizwa na wakulima wa Tanzania au Uganda. Period.
Wakati mwingine ni vyema kuachia matakwa ya soko yaonyeshe njia wakati ukitafakari la kufanya thats is busines
 
Tanzania tukiruhusu maziwa ya kutoka nje tumekwisha. Viwanda vyetu vyote combined hawakuti production ya Brookside kwa siku, tutashandanaje nao???
Naona umeingiza mkia katikati ya miguu. Nyinyi ndio huwa mnasema Kenya haizalishi chakula halafu unalia kwamba Kenya inazalisha maziwa mengi kuwashinda?

joto la jiwe
Geza Ulole
 
Tanzania wacha niwaonye. Mkiendelea kuchezea Kenya tutawafanya kama vile tunawafanya Somalia sasa hivi.


 
Tanzania tukiruhusu maziwa ya kutoka nje tumekwisha. Viwanda vyetu vyote combined hawakuti production ya Brookside kwa siku, tutashandanaje nao???
Hivi maziwa ya brookeside yanaviwango vya kweli yaani "REAL MILK CONTENT" haya pia ni mambo ya kuangalia je maziwa haya ni maziwa kweli au cassava powder kenya wajanja sana.
 
Folks.

80% of ndaganyiass can sing all they want. The word beberu is a popular word they maximize.

Look no further today majority of ndaganyiass holds two naming pattern names.First and second names respectively.

Germay sponsored lutheran church cames into fore.
 
Kwa hivyo tulienda kupigana na serikali ya Somalia kwa akili yako maembe?

Nyie akili kubwa mlienda kupatanisha. Na ndiyo maana sasa makundi yote hasimu yamekuja pamoja, pia hata lile jimbo la Somaliland ambalo limejitenga mumewaunganisha na wenzao. Hata ubalozi ambao wanataka mfungue kwenye jimbo hilo you politely declined it.
 
Kwa taarifa yako wakati Kenya inaingia Somalia 2011 kupambana na Shabab, serikali ya Somalia haikuwa inaexist. Hio serikali iliundwa wakati sisi tayari tuko Somalia tunakimbizana na Al shabab.
Kenya haijawahi kuattack serikali ya nchi nyingine. Sisi sio kama nyinyi mliopigana na Uganda. Kwa hivyo neno aggresor linawafaa nyie zaidi.
 

Sisi hatujawahi vamia Uganda. Sisi tulikuwa na jambo letu. Nalo lilikuwa ni kugawana nyama ya nduli

Na hii kukimbilia kufungua ubalozi Somaliland siyo uvamizi wa wazi kabisa wa nchi nyingine?
 
Sisi hatujawahi vamia Uganda. Sisi tulikuwa na jambo letu. Nalo lilikuwa ni kugawana nyama ya nduli

Na hii kukimbilia kufungua ubalozi Somaliland siyo uvamizi wa wazi kabisa wa nchi nyingine?
Usihamishe mada hadi Somaliland. Tunaongea kuhusu Somalia. Kwa hivyo wewe ulitaka Kenya tuache Al Shabab wazidi kutawala Somalia. Waendelee kukata mikono za watu. Kupiga watu mawe na kukata watu shingo kama kuku kwa makosa madogo madogo huko Somalia.

Mbaya zaidi ulikuwa unataka Shabab waendelee kuja Kenya kuteka nyara watalii na kuwapeleka Somalia? Yaani tulistahili kuendelea kucheka na Al Shabab kwa sababu kama tungeingia Somalia kuwakimbiza basi Eliakeem angesema kuwa sisi ni Aggresor. Hata kama Al Shabab sio serikali bali terror group bado tunaambiwa kwamba tumeattack nchi huru. Kwamba ingekuwa bora kama Kenya ingeendelea kucheka cheka na Al Shabab badala ya kuingia Somalia na kuwaangamiza.

Kwa mawazo mgando kama huo basi inaonekana hata nyinyi mlienda Congo kama aggresors. Mlienda huko kuattack serikali ya nchi huru bali hamkuenda kuattack rebel group iliyokuwa inanyanyasa watu (M23).
 

Nani aliwaalika muingie Mogadishu?

Acha kulialia, ninyi ni aggressor tu. Kwa nini hamkulinda mipaka yenu, badala yake mnaingia ndani ya mipaka ya nchi huru. Hilo ni kosa.
 
Nani aliwaalika muingie Mogadishu?

Acha kulialia, ninyi ni aggressor tu. Kwa nini hamkulinda mipaka yenu, badala yake mnaingia ndani ya mipaka ya nchi huru. Hilo ni kosa.
Unajua maana ya nchi huru? Mbona unaongea ujinga? Nchi huru gani ambayo haikuwa na serikali na sisi ndio tulisaidia serikali hio kuundwa? Nimeshakuambia Somalia haikuwa na serikali 2011. Kwani ulikuwa unataka Al shabab ndio itualike maana kama ujuavyo serikali ya kutualika haikuepo?

Naonaulikuwa unataka Somalia iendelee kutawaliwa na Al Shabab na unahisi vibaya tulipoingia humo kumaliza nguvu za Al Shabab. Bila Kenya kuingia huko hata hii serikali haingeundwa.

Jeshi la Kenya halikufika Mogadishu maana tayari Uganda walikuwa wameliteka Mogadishu. Jifunze kwanza historia ya Somalia kisha uje tujadili. Halafu kwa nini nyie mlivamia Uganda bila kualikwa? Mbona mliingia katika mipaka ya nchi huru?
 
Alshabaab wataendelea kubaka wakenya mpaka muelewe.na saa hii mmehasimiana na serikali yao.tutegemee mabaya zaidi.
 
alshabaab wataendelea kubaka wakenya mpaka muelewe.na saa hii mmehasimiana na serikali yao.tutegemee mabaya zaidi.
Dua la kuku halimfikii mwewe. Maombi yako ya upuuzi hata Mungu hawezi kuyasikia.
 
Tanzania wacha niwaonye. Mkiendelea kuchezea Kenya tutawafanya kama vile tunawafanya Somalia sasa hivi.


Hamna ubavu huo nyie jaribuni tuone


Kama Uhuru au raila hawajaja kupiga magoti chamwino au magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…