mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Umesahau ni juzi tu tumewapa kichapo cha mbwa msikitini Zanzibar na Tanzagiza?? pia angali Ranking ya kadanda duniani sisi tuko juu yenu bila kusahau tumeingia AFCON nyie mkiwa nyumbani kuitazama Kenya.Kenya lini mlikua juu kwenye football..