Kenya betrays Tanzania again at UNESCO's delisting campaign on Selous GR!

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
1.PNG

2.PNG

33.PNG

MY TAKE
Kama kawaida snitches kutoka Kunyaland wametu-backstab!
 
Hahaha. Naona unatokwa na machozi. Usitulazimishe kufanana. Sio lazima tuwasupport kwa kila jambo. By the way hatuna data ya jinsi kila nchi ilivote. Niko sure Kenya iliwapigia kura.
 
Hapo hawajasema kwamba Kenya haikuwapigia kura. Voting most likely was in secret. Na kama ilikuwa open voting nataka kuona list ili niamini.
Abstaining or voting no is still a betrayal and a word synomously stands for Kunyaland !
 
Hizi ni awamu nyingine. Bado mna upepo ule tu wa chokochoko na majirani. Badilika
 
usijisahaulishe zile NGOs zunu zilvokua zinaupinga mradi huu

ulichosahau tz haijawahi kua zoba kwe uga wa diplomacy
Hizo NGOs zinalipwa na wazungu na huwa zinasumbua serikali yetu so usilinganishe policies za hizo NGOs za wazungu na policies za serikali ya Kenya maana hawaelewani. Hizo NGOs zilipinga hata SGR ya Kenya kujengwa. Hazikutaka SGR kujengwa kupitia Tsavo national park. Zilienda mahakamani na mahakama ikatoa order kwamba ujenzi wa SGR usimamishwe ila serikali ikaignore order hio na kuendelea na ujenzi. Pia NGOs hizo zilienda mahakamani kuzuia ujenzi wa Lamu coal power plant. Hapa walifaulu kuzuia ujenzi huo kufanyika maana walienda mahakamani na kupata court order iliyositisha ujenzi huo. Hizo NGOs hazina uhusiano wowote na serikali yetu maana zinapinga miradi za serikali yetu. Hata zilipinga ujenzi wa barabara ya Southern Bypass Nairobi isipitie Nairobi national park, ila barabara hio ilijengwa tu kwa ubavu maana ukiwaachia hawa watu watawazuga sana. Walikuwa wanataka hapa Nairobi tuishi kwenye jam kila siku, hawajali maslahi ya wananchi. Wanajali wanyama kushinda watu. Bado hujatoa evidence kwamba serikali ya Kenya imevote NO.
 
Hizi ni awamu nyingine. Bado mna upepo ule tu wa chokochoko na majirani. Badilika
Hawajatoa evidence kwamba Kenya imevote NO. Wanakurupuka tu.

Kenya ni nchi tamu
 
Hizo NGOs zinalipwa na wazungu na huwa zinasumbua serikali yetu so usilinganishe policies za hizo NGOs za wazungu na policies za serikali ya Kenya maana hawaelewani. Hizo NGOs zilipinga hata SGR ya Kenya kujengwa. Hazikutaka SGR kujengwa kupitia Tsavo national park. Zilienda mahakamani na mahakama ikatoa order kwamba ujenzi wa SGR usimamishwe ila serikali ikaignore order hio na kuendelea na ujenzi. Pia NGOs hizo zilienda mahakamani kuzuia ujenzi wa Lamu coal power plant. Hapa walifaulu kuzuia ujenzi huo kufanyika maana walienda mahakamani na kupata court order iliyositisha ujenzi huo. Hizo NGOs hazina uhusiano wowote na serikali yetu maana zinapinga miradi za serikali yetu. Hata zilipinga ujenzi wa barabara ya Southern Bypass Nairobi isipitie Nairobi national park, ila barabara hio ilijengwa tu kwa ubavu maana ukiwaachia hawa watu watawazuga sana. Walikuwa wanataka hapa Nairobi tuishi kwenye jam kila siku, hawajali maslahi ya wananchi. Wanajali wanyama kushinda watu. Bado hujatoa evidence kwamba serikali ya Kenya imevote NO.
kwa macho ya kawaida inaonekana hivyo....
 
Abstaining or voting no is still a betrayal and a word synomously stands for Kunyaland !
What has Tanzania ever voted in favor of Kenya? Were you not the same idiot celebrating your country voting against Amina Mohamed? In fact I hope Kenya voted against you. Nyamba ukitaka.
 
The good tjing is ur plots have always failed! But ours have always prevailed! Ask Amina Mohamed!
 
Kwani Sisi ni Baba zenu?
Ndio nashangaa jombaa, au labda kwa akili za huyu mzee itakuwa sisi ndio wakalimani wao. Yaani wakiulizwa swali inabidi watulie tuwanung'unizie kwanza alafu ndio wamalizie kwa kutangaza jibu. 😄 Majukumu ya kipuuzi kama hayo sio ya saizi yetu sisi Manyang'au, labda wenzao Uganda. RIP JPM
 
What has Tanzania ever voted in favor of Kenya? Were you not the same idiot celebrating your country voting against Amina Mohamed? In fact I hope Kenya voted against you. Nyamba ukitaka.
Your head must be sick. Were you expecting Amina to beat Nigeria's Ngozi? There are certain things we can agree on, but this is different thing, Amina met undisputed heavyweights, hence losing was a very apparent.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom